Checnoris
Senior Member
- Aug 21, 2022
- 123
- 269
Nimepitia mitandaoni. Pamoja na talent yake mchezaji kinda wa Man utd ana Hali mby Sana.
Makampuni yanajitoa na kuapia kutojihusisha na mwingereza huyo mshambuliaji wa united.
Kwa hali hiyo Ulaya kula kinyama hicho ikiwa hujaoa ni ngumu sana. Na hata kama umeoa mkuu uache yeye(mchuchu)atake mwenyewe