Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
At least yeye ni Rais pekee aliyeweza kuonesha nafasi adhimu ya Tanzania katika kuhakikisha kwa majirani na rafiki zetu kuna amani.
Mwaka 2012 wakati kikundi cha M23 wanaleta fyoko fyoko Congo, aliwaonesha M23 na wafadhili wao Rwanda, nini nafasi ya Tanzania katika kuhakikisha marafiki zake wanakuwa salama.
Hakuishia Congo tu! Wakati wa jaribio la mapinduzi nchini Comoro, aliweza kuonyesha tena nafasi hiyo ya Tanzania.
Ni bahati mbaya sana alifanya hivyo kwa pride tu na roho nzuri, as hakufanya hivyo kwa maslahi mapana ya kiuchumi kwa Tanzania. Endapo angefanya yale kama mkopo leo hii hizi nchi zingekuwa zinalipa mabilioni ya fedha kwa Tanzania ambayo tungeyatumia kwa shughuli zetu za kimaendeleo.
Nawamiss sana Viongozi wa JWTZ kipindi cha Kikwete waliosimamia mission hizi tukufu! Gen. Mwamunyange, Lt. Gen Shimbo, Lt. Gen. Paul Ignace Mella na kwa wakati ule Brig. Gen. Mwakibolwa
I truly miss the glory days of Tanzania! I truly miss the glory days of my army JWTZ
Angalizo tu! Kuongelea dialogue na Kagame ni kuzidi kumpa kichwa. Kupitia hiyo Dialogue anaenda kutimiza azma yake ya kuimega Congo na akifanikiwa kituo kinachofuata ni Tanzania.
Bring Back the glory days of Tanzania 💪