Kwa yanayotokea nammiss Kikwete!

Nimekuelewa sana.

My point here ni kwamba, it's high time kwa Tanzania kubadili sera yetu ya Mambo ya Nje hasa kwenye eneo la engagement zetu za maeneo ya migogoro. Inawezekana mwanzoni tulikuwa tunaingia kwa nia za kusaidia au baada ya resolutions za UN au AU ila kwa sasa tuanze kuingia kwa maslahi yetu ya kiuchumi.

The goal of Kagame and Museveni ambao umekiri pia ni mazao yetu ni to put a lot of pressure by all means possible ili yale maeneo baadae yajitenge na kuwa annexed kama sehemu ya mataifa yao.

Contrary to 2012 ambapo kulikuwa na viongozi wanaojua hii migogoro vizuri na kufanya maamuzi ambapo nia zao hizo hazikutimia ila saivi wanaonekana wako determined kweli na kwa namna dunia inavyowabembeleza it's seems they are going to achieve this goal.

Congo kwa sasa ni kama ameachwa. Hakuna anayemsaidia kweli. Na it's obvious anahitaji sana msaada saivi kuliko wakati wowote ule.

Swali ni Je hatulioni hili kama fursa? Kwa nini tusiitumie hii kama fursa rasmi? Alafu kumbuka if we do it in Congo today tutakuwa tumefanikiwa ku set a very good precedent na kesho mwingine akiwa na shida atakuja kutu engage na pia tutamsaidia on the same terms za kuangalia maslahi ya kiuchumi.

Ni bahati mbaya sana saivi Viongozi wetu wanaangalia maslahi binafsi na sio maslahi ya Taifa ila if ningekuwa Rais wa Tanzania leo mpaka muda huu ningekuwa nimesha saini makubaliano na Rais wa Congo na vijana wangu wapo kazini tena kwa Tangazo la wazi.

Congo anachokosa ni support ya uhakika kwenye kupambana na ule uharamia ila when it comes to fedha, anazo za kutosha sana.

Saivi Congo analipa vikosi binafsi kutoa ulinzi kwenye maeneo yake. What if hizo hela zote angetulipa sisi tukaweka Military Base zetu hata mbili kule Mashariki mwa Congo na vifaa vya uhakika?


Unadhani tukifanya hivi na wananchi wa Congo wakaona na waka experience matunda yake, Kesho wawekezaji wetu watakuwa na influence kiasi gani nchini Congo?

Niliandika uzi jana kuuliza kuhusu ni kina nani Think Tanks wetu?

Niseme ukweli, umaskini wa Tanzania ni wa kujitakia maana fursa zipo kibao ila tunaongozwa na vilaza ambao hawawezi kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
 
Umesahau mwaka jana dereva wa roli la mizigo alimuua dereva wa basi la mtei na mtazania? Mlifanyaje?
Leo Naibu Waziri Mkuu mmeweka mtu wao. Kesho wakija kudai tulikuwa tunapata nafasi za juu za maamuzi kwa nini mnatutenga mtasemaje?

Haya mambo CCM kutokana na kuendekeza vilaza hawayaoni na wanayachukulia kiwepesi sana, ila siku yakianza kufumuka ndo wataelewa walivyo washenzi na hawakustahili kuendelea kuongoza hii nchi.
 
CCM ukweli imekoswa watu wenye akili na hii kuendekeza uchawa hata kwenye mambo ya msingi.
Mfano mdogo mtu mwenye miaka 76 anastaafu kazi halafu wa miaka80 ndo anateuliwa huoni hapa tunaongozwa na watu ajabu sana
 
Huyo jamaa alikuwa na mgongano wa kimaslahi na hao majamaa uliopelekea kuliza kosasi
 
Kwamba kituo kinachofuata Tanzania?

Kagame hawezi kuua hata kuku Tanzania

Tutampiga Kama mbwa Koko mvimbisheni kichwa tu ajae kwenye 18.
Akijaa kwenye 18.. wanaomsifia wanakaa pembeni.. kichapo anachezea mwenyewe, mke, watoto na mama yake kama anae
 
CCM ukweli imekoswa watu wenye akili na hii kuendekeza uchawa hata kwenye mambo ya msingi.
Mfano mdogo mtu mwenye miaka 76 anastaafu kazi halafu wa miaka80 ndo anateuliwa huoni hapa tunaongozwa na watu ajabu sana
Tunaosema CCM inapaswa kupumzishwa tunaelewa tuna maanisha nini?

Huko kwenye Taasisi nyeti naskia saivi nchi yetu imeshapenyezewa mamluki wa nchi jirani kibao. Wanapata taarifa karibu zote za siri kwa sababu ya CCM kuishiwa mbinu na saivi imekuwa zoazoa tu! Wakiona mtu anawasifia tu wanampa cheo sehemu.
 
Kwamba kituo kinachofuata Tanzania?

Kagame hawezi kuua hata kuku Tanzania

Tutampiga Kama mbwa Koko mvimbisheni kichwa tu ajae kwenye 18.
Sidhani Kama anaweza kuja kichwa kichwa, ila anaweza kumanipulate mfumo! Na ikiwa simple!!! 😅😅 Tuscan mfumo wetu kwanza
 
Think Tank???? Hatupewi ajira wanapewa ajira wenye pesa
 
Umeeleza vizuri sana, serikali ya drc haipo serious
They are desperate. The don't have leadership but they have resources and money.

It's high time to chip in! Sio tu kwa sababu wanahitaji msaada ila kwa faida zetu kiuchumi miaka mingi inayokuja.
 
Kwa kuongeza, ktk zama za Kikwete, kumbukumbu zimenitoka baadhi ila nafikiri ni Rais wa Burundi kipindi hicho alikuja ziara ya kikazi Tz, Usiku ule Waasi wakajaribu kufanya mapinduzi wakati Rais wao yupo ziarani Dsm, Mpaka kufika asubuhi Tayari jaribio lile lilizimwa na makomando wetu na mambo yakakaa sawa!!
Dada Joyce kule Malawi pia alijikuta pabaya Pale alipokuja kubaini kuwa dhamira zake ovu dhidi ya mpaka wa Tz na Malawi zinavuja kupitia maofisa wake mwenyewe....
 
Kikwete alikuwa a man and a half
 
Nimekusoma vizuri mkuu,
Inaonesha wewe na mie tuna mtazamo mmoja,kwamba Tanzania lazima itumie military muscle yake kuhakikisha usalama ndani ya DRC kwa maslahi ya kiuchumi ya Tanzania indirectly......,sana sana tunatofautiana katika approach.....kwamba wewe unataka Tanzania ijihusishe kiulinzi kwa uwazi katika DRC, na mie naona underground engagement ni approach bora. Lakini yote kwa yote kama Tanzania inataka kunufaika 100% na SGR yake,ni lazima ihakikishe DRC imekuwa tulivu na salama kisiasa na kijamii.
Hili la Tanzania kwa mlango usio rasmi liliwahi kufanywa..na aliyepewa jukumu nyuma ya pazia kukusanya wahusika wa kuingia kazini alikuwa Mchungaji ,mwanasisa Mtikila. Lakini program haikuendelezwa.
This time nimesikia tetesi Tanzania iko tena hilo eneo nyuma ya pazia,. Hata hiiyo habari ya M23 majuzi kuteka airport Goma,lakini muda huu wamekimbizwa tena hadi kwao Gisenyi ni kazi ya jeshi la nyuma ya pazia,..na siyo DRC kivile.
Niliwahi kushauri sehemu fulani,kwwmba kunatakiwa BASE zenye nguvu kila maeneo ya mipaka katika DRC hasa katika mipaka na nchi korofi.
Kwa mfano,Udhaifu wa kukosekana kwa ngome imara kasazini mwa Mozambique kufanya waasi/magaidi watambe katika mkoa wa Cabo Delgado wanavyotaka. Jeshi la serikali ambalo halina nidhamu inabidi lisafiri toka Nampula kuwafuata huko kaskazini. Na ndivyo ilivyo Congo.
 
Kama kweli hilo linafanyika ni habari njema kwa kweli.

Msisitizo focus now iwe kwa maslahi ya kiuchumi zaidi na tuweke kabisa Military Base pale
 
Jamaa wanaenda Kivu Kusini saivi. Tanzania tupo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…