Kwa Yanga hii,Kaze utakosolewa na kushutumiwa sanaaa

Abby Newton

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
1,252
Reaction score
2,253
Baada ya sare kadhaa kwenye ligi wachambuzi wa soka walimshutumu na kulaumu mbinu za Kocha wa Yanga hali iliyopelekea Kaze mwenyewe kutoka hadharani na kueleza kusikitishwa na namna wachumbuzi wa soka nchini wanavyomsema na kukosoa mifumo yake.

Kwa mtu mwenye ufahamu na uelewa mzuri wa mpira ataungana nami kwamba kocha Kaze ameshindwa kuitengeneza timu. Kila mchezaji anacheza kivyake. Viwango vya wachezaji vimeporomoka sana.

Mashambulizi yanayotengenezwa na washambuliaji wa Yanga ni rahisi kuyatabiri.Wachezaji hawana ubunifu kabisa katika eneo la mwisho.

Kwangu timu inapokosa mbinu,mtu wa kwanza kulaumiwa ni kocha na Kaze ajiandae kisaikolojia. Endapo timu itaendelea na mwenendo huu basi atakosolewa sanaa.

Kama hataki kusemwa basi lazima abadilishe kitu kwenye timu.
 
Kwahiyo bora awepo kocha mzuri ila ushindi hamna? Muhimu pointi 3, mengine tuwaachie wale wengine wanaosema wanaweza kuifunga barca!
 
Naona mwisho wa Kaze unakaribia, ashukuru kuailishwa mechi ya Simba ila kipigo watakachokutqna nacho siku wanacheza na Simba ndio tiketi yake ingawa kuna pointi atapoteza atakapocheza na coastal nq polisi ingawa atasingizia ubovu wa viwanja
 
Baada ya sare kadhaa kwenye ligi wachambuzi wa soka walimshutumu na kulaumu mbinu za Kocha wa Yanga hali iliyopelekea Kaze mwenyewe kutoka hadharani na kueleza kusikitishwa na namna wachumbuzi wa soka nchini wanavyomsema na kukosoa mifumo yake.

Kwa mtu mwenye ufahamu na uelewa mzuri wa mpira ataungana nami kwamba kocha Kaze ameshindwa kuitengeneza timu. Kila mchezaji anacheza kivyake. Viwango vya wachezaji vimeporomoka sana.

Mashambulizi yanayotengenezwa na washambuliaji wa Yanga ni rahisi kuyatabiri.Wachezaji hawana ubunifu kabisa katika eneo la mwisho.

Kwangu timu inapokosa mbinu,mtu wa kwanza kulaumiwa ni kocha na Kaze ajiandae kisaikolojia. Endapo timu itaendelea na mwenendo huu basi atakosolewa sanaa.

Kama hataki kusemwa basi lazima abadilishe kitu kwenye timu.
Timu daraja la nne kaweka full squad... na wanashinda kwa kabao kamoja ka Penalty...

Yanga bila Penalty....

Angefungwa na Simba kwenye derby
Asingeingia nusu fainali kombe la Mapinduzi
Asingecheza fainali kombe la mapinduzi
Asingeshinda mechi ya Azam FC na timu daraja la nne
Asingetishia kujitoa kwenye ligi kama angefungwa na Mtibwa...

Yani litimu linapambana lipewe penalti ili lishinde...

No penalty No Utopolo...
 
Ramli zimeanza tena, ligi ilipoanza mara mtibwa, mara Mbeya City etc tukapiga wote, Simba akachoropoka mkoni ila Mapinduzi Cup tukajipigia, kwani hii ni Simba ipi unayoizungumzia?
 
Hizi ni hoja za kitoto sana, kwani mpira unakuwa unachezewa wapi mpaka penalty zinapatikana?? Hakuna timu isiyopenda penalty, ni hazipatikani tu.
 
Hivi Kaze ana muda gani na timu,kitaalamu huchukua muda gani timu kupata Muunganiko
Baada ya sare kadhaa kwenye ligi wachambuzi wa soka walimshutumu na kulaumu mbinu za Kocha wa Yanga hali iliyopelekea Kaze mwenyewe kutoka hadharani na kueleza kusikitishwa na namna wachumbuzi wa soka nchini wanavyomsema na kukosoa mifumo yake.

Kwa mtu mwenye ufahamu na uelewa mzuri wa mpira ataungana nami kwamba kocha Kaze ameshindwa kuitengeneza timu. Kila mchezaji anacheza kivyake. Viwango vya wachezaji vimeporomoka sana.

Mashambulizi yanayotengenezwa na washambuliaji wa Yanga ni rahisi kuyatabiri.Wachezaji hawana ubunifu kabisa katika eneo la mwisho.

Kwangu timu inapokosa mbinu,mtu wa kwanza kulaumiwa ni kocha na Kaze ajiandae kisaikolojia. Endapo timu itaendelea na mwenendo huu basi atakosolewa sanaa.

Kama hataki kusemwa basi lazima abadilishe kitu kwenye timu.
 
Ramli zimeanza tena, ligi ilipoanza mara mtibwa, mara Mbeya City etc tukapiga wote, Simba akachoropoka mkoni ila Mapinduzi Cup tukajipigia, kwani hii ni Simba ipi unayoizungumzia?
Simba ulijipigiaje tukumbushane kidogo bwana utopolo
 
Hivi Kaze ana muda gani na timu,kitaalamu huchukua muda gani timu kupata Muunganiko
Hakuna muda specific inategemea na utalaam wa kocha ili kupata muunganiko. Kocha wa simba ni mgeni kuliko Kaze ila simba inacheza kama unavyoona. Kwa kiasi kikubwa ubora wa wachezaji na utalaamu wa kocha ndio unaoleta muunganiko.
 
Back
Top Bottom