Kwa Yanga hii,Kaze utakosolewa na kushutumiwa sanaaa

Mtashangaa,yanga hii hii ndio itachukua ub8ngwa wa nchi
 
point of correction,sijawahi kuwa shabiki wa Yanga!!!😀😀 kiukweli nawasikitikia sana Yanga kwa jinsi wanavyolalamikia kila kitu. watalalamikia marefa, watarudi kwa tff, wataenda kwa kocha, mara Morrison yaani ni mwendo wa malalamiko kila uchwao bila kuangalia ishu ya msingi.
labda kwa kuwasaidia tu, hakikisheni mna wachezaji wenye quality kisha hakikisheni mnawa-train wachezaji wenu wajue kwamba ushindi ni uwanjani na waachane na kutegemea kupata ushindi kwa janja janja!!
Mashabiki wawajibisheni viongozi wenu na sio kuanza kunyoosha vidole kwa wasiohusika na kucheza uwanjani. hivi kwa mfano timu uwanjani haitengenezi nafasi za wazi hata 2 kwa dakika zote 90 kisha ikipoteza points mnaanza kulalama mara refa, mara tff. Hebu hao wachezaji watengeneze nafasi zaidi ya 5 uone kama kuna malalamiko mtayapeleka kwa marefariii.

kwa sasa acha sisi mikia fc tutambe😛 maana tuna focus zaid kuwaandaa wachezaji kupata matokeo uwanjani kwani wana hiyo quality
 
Ni Tanzania tu kocha ambaye hajafungwa hata mechi moja kwenye mashindano yote aliyocheza anaimbwa kua mbovu. Shida ni ushabiki, simba akishinda tatu, basi na yanga ashinde tatu ili kijiweni story zibalansi.

Simba ipo pale kwa zaidi ya miaka 3, wachezaji wengi wamekaa kwa mda mrefu na usajili wao ni wa kuziba gap ndogo ndogo... Yanga msimu huu karibu kikosi chote cha kwanza ni kipya! Kocha ana struggle kutafuta mfumo na chemistry, ndio maana anabadili na kununua wachezaji kwa mikataba mifupi mifupi ya miezi 6 ili kupata watu wa uhakika. Mafanikio ni suala la mda and not an overnight process!!! Ila bongo nyosooo

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
tatizo la Yanga ni pamoja na wachezaji tusimlaumu kocha peke yake. kwa ukubwa wa Yanga kuna lundo la wachezaji hawana hadhi ya kuwepo kikosini. wajitathimini wachezaji wao kama wana hiyo quality ya kuwa 'Wananchi'
Ukubwa gani wa Yanga?
 
kwani huyo Nchimbi alisajiliwa ili afanye nini zaidi ya kucheza? ndio mshambuliaji tegemeo wa timu sasa kocha alaumiwe kwa lipi,,, 😀
 
Tunakamiwa mno
 
umen
umenena ukweli mtupu...yani timu haijapoteza mchezo wowote wa ligi lakini hawana uhakika wa kuchukua ubingwa! inabidi wawe wavumilivu
 
Lamini ana mpira, pasi kwa Mwamnyeto , pasi kwa tonombe halafu pasi ndefu kwa Kisinda. Ndiyo mfumo wa uto.

Raha yao na mbinu zao zote ni kumwona Kisinda anatimua mbio.
 
Kaze amekuja kabla ya Didier lakini bado tu hajapata muunganiko. Mwenzake Didier muunganiko umeshapatikana. Labda huyo Kaze tumletee SUPER GLUE ili atengeneze muunganiko.
Hapana mkuu pale yanga hakuna timu.Wachezaji wote ni average,hata ungemleta Klopp au Gardiola hamna atachofanya na mbwelambwela wale.
 
Hapana mkuu pale yanga hakuna timu.Wachezaji wote ni average,hata ungemleta Klopp au Gardiola hamna atachofanya na mbwelambwela wale.
na huo ndio ukweli amba mashabiki hawaukubali....
 
Penalty ni part ya mpira kaka,
Ukifanya kosa unaadhibiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…