The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Itakua Manchester City sio nyingine mkuu, kwani Pep Guadiola anasemaje?Ni dhahiri shairi kwamba kuna timu pale Uingereza
Ki Aziz unamaanisha au?Kagoli kamoja tu, mpaka alisimamia ukucha....
Moto umewaka huko[emoji1]Moto umewaka huko[emoji1]Wakuu nadiriki kusema kwamba hii Yanga tuliyoishuhudia jana ndiyo timu bora zaidi kuwahi kutokea hapa Africa mashariki na kati, hakujawahi kutokea timu ya hapa Africa mashariki na kati ikaupiga mwingi kama Yanga, tena uarabuni!!!
Ni dhahiri shairi kwamba kuna timu pale Uingereza zinafungika kirahisi kama zitataka mechi na Yanga tuliyoishuhudia jana.
Hii Yanga ni hatari sana mkuu, hawakupi nafasi ya kucheza mpira kabisa, yani muda wote mpira wanao wao tu, huyu Nabi kwakweli kazua balaa mjini.Mla mihogo kashiba mihogo tayari.
Sawa Ngoja mkipangiwa na Tp uje Tena kuthibitishaHii Yanga ni hatari sana mkuu, hawakupi nafasi ya kucheza mpira kabisa, yani muda wote mpira wanao wao tu, huyu Nabi kwakweli kazua balaa mjini.
Mkuu Yanga sio poa mkuu sema mazoea tu wabongo tuko nayo ila hii Yanga ni noma sana.Mkuu naona tukija bongo akili unaziacha kuzitumia kabisa.
Kanuni yetu ni ile ile 22/7 kwamba hakuna ruhusa kwa timu pinzani kumiliki mpira, iwe nyumbani iwe ugenini.Sawa Ngoja mkipangiwa na Tp uje Tena kuthibitisha
Unajua kwa ss Yanga inafanya mambo matatu kwa wakati mmoja, kwanza kujenga timu bora na imara, pili kuijenga Yanga kiuchumi na tatu matokeo uwanjani.Wasi wasi wangu ni kwamba Club Africain au Al Ahly wanaweza kupanda dau KWA Nabi.
Nakemea hiyo roho.
In Nabi we trust
Insha'AllahUnajua kwa ss Yanga inafanya mambo matatu kwa wakati mmoja, kwanza kujenga timu bora na imara, pili kuijenga Yanga kiuchumi na tatu matokeo uwanjani.
Nakwambia hakuna timu hapa Tz iko organized kama Yanga, mambo yetu tunayafanya kisomi zaidi, huyu Nabi haondoki leo wala kesho mana anaona yupo sehemu salama isiyo na mambo ya kiswahili swahili kama timu zingine za kiafrika ikiwemo Simba, pia kuhusu mshiko wacha kabisa mkuu Yanga mshiko upo, hakuna mtu ataondoka kwenye benchi la ufundi au mchezaji, kama wataondoka ujue ni nje ya Afrika.