Kwa Yanga hii tuliyoiona, kuna timu Uingereza hazitoboi

The best 007

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2019
Posts
41,015
Reaction score
93,277
Wakuu nadiriki kusema kwamba hii Yanga tuliyoishuhudia jana ndiyo timu bora zaidi kuwahi kutokea hapa Africa mashariki na kati, hakujawahi kutokea timu ya hapa Africa mashariki na kati ikaupiga mwingi kama Yanga, tena uarabuni.

Ni dhahiri shairi kwamba kuna timu pale Uingereza zinafungika kirahisi kama zitataka mechi na Yanga tuliyoishuhudia jana.
 
Wakuu nadiriki kusema kwamba hii Yanga tuliyoishuhudia jana ndiyo timu bora zaidi kuwahi kutokea hapa Africa mashariki na kati, hakujawahi kutokea timu ya hapa Africa mashariki na kati ikaupiga mwingi kama Yanga, tena uarabuni!!!

Ni dhahiri shairi kwamba kuna timu pale Uingereza zinafungika kirahisi kama zitataka mechi na Yanga tuliyoishuhudia jana.
Moto umewaka huko[emoji1]Moto umewaka huko[emoji1]
IMG-20221110-WA0124.jpg
 
Wasi wasi wangu ni kwamba Club Africain au Al Ahly wanaweza kupanda dau KWA Nabi.

Nakemea hiyo roho.
In Nabi we trust
Unajua kwa ss Yanga inafanya mambo matatu kwa wakati mmoja, kwanza kujenga timu bora na imara, pili kuijenga Yanga kiuchumi na tatu matokeo uwanjani.

Nakwambia hakuna timu hapa Tz iko organized kama Yanga, mambo yetu tunayafanya kisomi zaidi, huyu Nabi haondoki leo wala kesho mana anaona yupo sehemu salama isiyo na mambo ya kiswahili swahili kama timu zingine za kiafrika ikiwemo Simba, pia kuhusu mshiko wacha kabisa mkuu Yanga mshiko upo, hakuna mtu ataondoka kwenye benchi la ufundi au mchezaji, kama wataondoka ujue ni nje ya Afrika.
 
Insha'Allah
 
Back
Top Bottom