The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
- Thread starter
- #61
Yanga imemtambulisha rasmi mchambuzi wa video kutoka Tunisia bwana Kahalil Yousef. Haya ni mageuzi makubwa katika soka la Tanzania, bila shaka Yanga inapita njia sahihi za kuwa moja ya klabu tishio hapa Africa, kwa mwenendo huu hakika Yanga ndiyo itakayokuwa klabu ya kwanza Tz kubeba moja ya kombe kubwa Afrika.
Daima Mbele Nyuma Mwiko
Daima Mbele Nyuma Mwiko