Kwa Yanga hii tuliyoiona, kuna timu Uingereza hazitoboi

Kwa Yanga hii tuliyoiona, kuna timu Uingereza hazitoboi

Yanga imemtambulisha rasmi mchambuzi wa video kutoka Tunisia bwana Kahalil Yousef. Haya ni mageuzi makubwa katika soka la Tanzania, bila shaka Yanga inapita njia sahihi za kuwa moja ya klabu tishio hapa Africa, kwa mwenendo huu hakika Yanga ndiyo itakayokuwa klabu ya kwanza Tz kubeba moja ya kombe kubwa Afrika.

Daima Mbele Nyuma Mwiko
tapatalk_-596541661_647x702.jpg
 
Haiwezi kutoboa kwenye timu inayocheza National league(Daraja la 5) huko Uingereza.

Kama inaweza, ikacheze na timu yeyote kwenye hiyo league.

Nimekaa palee....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
20230407_134057.jpg
 
Lazima mechi ichezwe, haiahirishwi mechi hapaa.
Screenshot_20230408-104056.jpg
 
Yanga yakwea mpaka nafasi ya 9 Africa na ya 104 kidunia according to IFFHS.

Screenshot_20230515-004956.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom