Kwa Yanga hii tuliyoiona, kuna timu Uingereza hazitoboi

Mashabiki wa yanga mmejaa ujinga mtupu mmesahau juzi tu mlifungwa na al ahly leo unataka mechi na Epl duh wajinga ndio wali waoo
 
Mashabiki wa yanga mmejaa ujinga mtupu mmesahau juzi tu mlifungwa na al ahly leo unataka mechi na Epl duh wajinga ndio wali waoo
Huo ushindi wa kindondokera ndiyo siutaki mm, yn timu inapata kagoli kamoja wanaanza kuanguka anguka nusu saa nzima, angalia Yanga jana wamefunga goli na bado wanakuja, hakuna kuanguka anguka wala nn na hakuna kutoa mpira nje ni mwendo wa msako tu dk 90 zote kama wapo nyumbani vile.
 
Kweli walimpiga msako mwarabu mpaka kalainika.
 
Kua specific mkuu, wala usiogope sema tu CHELSEA kwa YANGA hii hatoboi. na anakufa nyingi tu haijalishi ni kwa mkapa au darajani.
 
Bila unafiki uke mpira walioupiga Yanga, sijawahi kuuona popote Africa hii.
Jamaa walikua compact, yaani mtu anajituma 💯 na anafanya kazi zaidi ya nafasi yake. Anakaba, anashambulia na kuhold mpira. Yaan in general yanga ilkua imetimia 💯.

Wale jamaa walidhani yanga atalinda na kuruhusu mashambulizi, wakajikuta wao ndo wanashambuliwa. Daah, kuna watu hawatoki ndani kwa aibu.
 
Hii Yanga naomba mashabiki tutulie kama misimu miwili hivi halafu uone kitakachotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…