Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Guadiola wa rangi gani ?Itakua Manchester City sio nyingine mkuu, kwani Pep Guadiola anasemaje?
Si yule anaevaa Jeans Kubwa au we unafikiria ni yupi?Guadiola wa rangi gani ?
Guadiola mnenee au mwembamba ?Itakua Manchester City sio nyingine mkuu, kwani Pep Guadiola anasemaje?
Mbumbumbu katika ubora wa kimakolo makolo [emoji847]Mashabiki wa yanga mmejaa ujinga mtupu mmesahau juzi tu mlifungwa na al ahly leo unataka mechi na Epl duh wajinga ndio wali waoo
Bonge Bonge hivi hua anavaa Jeans kubwa kubwaGuadiola mnenee au mwembamba ?
Huo ushindi wa kindondokera ndiyo siutaki mm, yn timu inapata kagoli kamoja wanaanza kuanguka anguka nusu saa nzima, angalia Yanga jana wamefunga goli na bado wanakuja, hakuna kuanguka anguka wala nn na hakuna kutoa mpira nje ni mwendo wa msako tu dk 90 zote kama wapo nyumbani vile.Mashabiki wa yanga mmejaa ujinga mtupu mmesahau juzi tu mlifungwa na al ahly leo unataka mechi na Epl duh wajinga ndio wali waoo
Kweli walimpiga msako mwarabu mpaka kalainika.Wakuu nadiriki kusema kwamba hii Yanga tuliyoishuhudia jana ndiyo timu bora zaidi kuwahi kutokea hapa Africa mashariki na kati, hakujawahi kutokea timu ya hapa Africa mashariki na kati ikaupiga mwingi kama Yanga, tena uarabuni.
Ni dhahiri shairi kwamba kuna timu pale Uingereza zinafungika kirahisi kama zitataka mechi na Yanga tuliyoishuhudia jana.
Hii Yanga ni hatari sana wakuu.Kweli walimpiga msako mwarabu mpaka kalainika.
Zaidi ya hatari mkuu, acha tu.Hii Yanga ni hatari sana wakuu.
Kweli kabisa mkuu, ukweli usemwe.Kua specific mkuu, wala usiogope sema tu CHELSEA kwa YANGA hii hatoboi. na anakufa nyingi tu haijalishi ni kwa mkapa au darajani.
Wamefungwa waarabu ila hofu imewajaa watu wengine kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli kabisa ule mpira tuliowachezea haukuwa wa kiafrika kabisa aisee
Hii Yanga naomba mashabiki tutulie kama misimu miwili hivi halafu uone kitakachotokea.Bila unafiki uke mpira walioupiga Yanga, sijawahi kuuona popote Africa hii.
Jamaa walikua compact, yaani mtu anajituma [emoji817] na anafanya kazi zaidi ya nafasi yake. Anakaba, anashambulia na kuhold mpira. Yaan in general yanga ilkua imetimia [emoji817].
Wale jamaa walidhani yanga atalinda na kuruhusu mashambulizi, wakajikuta wao ndo wanashambuliwa. Daah, kuna watu hawatoki ndani kwa aibu.