Umeona uingereza kuna man u tu?Unamaanisha Man U hatoboi kwa Yanga [emoji23]
Hii Yanga ni hatari sana mkuu ni vile mazoea tu kwasabu ipo bongo lkn ni miongoni mwa timu bora kabisa hapa Africa kwa ss.Umeona uingereza kuna man u tu?
Mihogo sisi ndo chakula bora Kwetu.Mla mihogo kashiba mihogo tayari.
Inashiriki kombe gan hapa Afrika Championship OR Confederation ?Wakuu nadiriki kusema kwamba hii Yanga tuliyoishuhudia jana ndiyo timu bora zaidi kuwahi kutokea hapa Africa mashariki na kati, hakujawahi kutokea timu ya hapa Africa mashariki na kati ikaupiga mwingi kama Yanga, tena uarabuni.
Ni dhahiri shairi kwamba kuna timu pale Uingereza zinafungika kirahisi kama zitataka mechi na Yanga tuliyoishuhudia jana.
Kumbe bado ipo michuano ya Afrika, nilidhani haipo michuano yoyote, nilitaka kushangaa timu bora kama Yanga inakosaje.Inashiriki kombe gan hapa Afrika Championship OR Confederation ?
Yah ndio tutajua sasa kati ya Yanga au manyonyo fc nani ana timu nzuri mana makundi yote magumu hakuna kusingizia sijui hii confederation au hii champions.Caf confederation cup ndo itatoa majibu ya bahasha na ulozi wa wazee wa jezi nyeusi.
Tp yupiiiiiSawa Ngoja mkipangiwa na Tp uje Tena kuthibitisha
Itakuwa Tanzania PoliceTp yupiiiii
Mla mihogo katika ubora wakeWakuu nadiriki kusema kwamba hii Yanga tuliyoishuhudia jana ndiyo timu bora zaidi kuwahi kutokea hapa Africa mashariki na kati, hakujawahi kutokea timu ya hapa Africa mashariki na kati ikaupiga mwingi kama Yanga, tena uarabuni.
Ni dhahiri shairi kwamba kuna timu pale Uingereza zinafungika kirahisi kama zitataka mechi na Yanga tuliyoishuhudia jana.
Tp yupiiiii