Kwa Yanga hii tuliyoiona, kuna timu Uingereza hazitoboi

Timu bora Afrika mashariki na kati kwa ss.
tapatalk_998154254_540x562.jpg
 
Wakuu nadiriki kusema kwamba hii Yanga tuliyoishuhudia jana ndiyo timu bora zaidi kuwahi kutokea hapa Africa mashariki na kati, hakujawahi kutokea timu ya hapa Africa mashariki na kati ikaupiga mwingi kama Yanga, tena uarabuni.

Ni dhahiri shairi kwamba kuna timu pale Uingereza zinafungika kirahisi kama zitataka mechi na Yanga tuliyoishuhudia jana.
Inashiriki kombe gan hapa Afrika Championship OR Confederation ?
 
Kumbe bado ipo michuano ya Afrika, nilidhani haipo michuano yoyote, nilitaka kushangaa timu bora kama Yanga inakosaje.
 
Caf confederation cup ndo itatoa majibu ya bahasha na ulozi wa wazee wa jezi nyeusi.
 
Yah ndio tutajua sasa kati ya Yanga au manyonyo fc nani ana timu nzuri mana makundi yote magumu hakuna kusingizia sijui hii confederation au hii champions.
 
Real Bamako kwa matokeo haya ya last 5 games tutamtafuna kama karanga [emoji1645]

[emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172]
Screenshot_20230224-154737.jpg
 
Wakuu nadiriki kusema kwamba hii Yanga tuliyoishuhudia jana ndiyo timu bora zaidi kuwahi kutokea hapa Africa mashariki na kati, hakujawahi kutokea timu ya hapa Africa mashariki na kati ikaupiga mwingi kama Yanga, tena uarabuni.

Ni dhahiri shairi kwamba kuna timu pale Uingereza zinafungika kirahisi kama zitataka mechi na Yanga tuliyoishuhudia jana.
Mla mihogo katika ubora wake
 
Back
Top Bottom