Kwa yeyote aliyewahi kuagiza gari online with SBT Japan.

kayanda01

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,216
Reaction score
1,062
Wakuu, heshima kwenu.

For the first time, ninahitaji kununua na kumiliki kausafiri.

Niliwaza kuagiza gari kwa kutumia SBT coz naona wana magari mengi ya kuchagua at reasonable prices, na yanaonekana kwenye picha with very nice condition!

Nimejaribu kucheki "AFTER-PURCHASE QUALITY" reviews kwenye website ya Trustpilot, customer feedback ni very bad! Very negative!
https://www.trustpilot.com/review/www.sbtjapan.com

Ila ukicheki customer reviews kwenye website ya SBT wenyewe, feedback ni very positive! Very nice! https://www.sbtjapan.com/testimonials/

Imenichanganya! Naombeni uzoefu wenu ndugu. I am first time buyer, naogopa kuanza na bad experience!

Kupitia SBT, kuna mtu yeyote aliyepokea gari likiwa bovu ama poor quality tofauti na lilivyoonekana kwenye picha? Maana picha za magari zinang'aa na kuvutia sana.

Na je, huko Japan kuna kampuni yoyote ambayo inatoa huduma ya 'pre-purchase inspection'? yaani nipate independent physical inspection kabla ya manunuzi.

Natanguliza shukrani.
 
Wananzengo... naombeni mawazo yenu kwenye hili
 
Hizo reviews kwenye website ya Trustpilot zimenishtua sana
 
Ngoja waje na mm nasubir, ila yupo jamaa yng aliagiza Toyota Raum mwaka 2017 kupitia hao SBT na bado gari ipo poa, mm pia nataka niwatumie hao mambo yakikaa poa mwisho wa mwaka. Ngoja tusubir wengine kwa ushuhuda zaidiiii.
 
Wakuu, heshima kwenu.

For the first time, ninahitaji kununua na kumiliki kausafiri.

Niliwaza kuagiza gari kwa kutumia SBT coz naona wana magari mengi ya kuchagua at reasonable prices, na yanaonekana kwenye picha with very nice condition!

Nimejaribu kucheki "AFTER-PURCHASE QUALITY" reviews kwenye website ya Trustpilot, customer feedback ni very bad! Very negative!
https://www.trustpilot.com/review/www.sbtjapan.com

Ila ukicheki customer reviews kwenye website ya SBT wenyewe, feedback ni very positive! Very nice! https://www.sbtjapan.com/testimonials/

Imenichanganya! Naombeni uzoefu wenu ndugu. I am first time buyer, naogopa kuanza na bad experience!

Kupitia SBT, kuna mtu yeyote aliyepokea gari likiwa bovu ama poor quality tofauti na lilivyoonekana kwenye picha? Maana picha za magari zinang'aa na kuvutia sana.

Na je, huko Japan kuna kampuni yoyote ambayo inatoa huduma ya 'pre-purchase inspection'? yaani nipate independent physical inspection kabla ya manunuzi.

Natanguliza shukrani.
Mimi niliagiza na niliipata gari mkuu mwaka huu mwanzoni boss
 
SBT wako vzuri, niliwahi kuagiza gari ikaja fresh kabsa.
Ila beforward nimefanya nao kazi nyingi sana na wako vizuri zaidi.
 
Ngoja waje na mm nasubir, ila yupo jamaa yng aliagiza Toyota Raum mwaka 2017 kupitia hao SBT na bado gari ipo poa, mm pia nataka niwatumie hao mambo yakikaa poa mwisho wa mwaka. Ngoja tusubir wengine kwa ushuhuda zaidiiii.

Karibu Mkuu tupate ushuhuda kutoka kwa wenye real experience with SBT Japan.

Isijekuwa unapokea gari lina defects kibao tofauti na lilivyo kwenye picha. Picha zao zinavutia mnoo... sijuwi ni picha halisi/current ama picha zinang'arishwa kiphotoshop. Tuendelee kusubiri wazoefu watujuze.
 
SBT wako vzuri, niliwahi kuagiza gari ikaja fresh kabsa.
Ila beforward nimefanya nao kazi nyingi sana na wako vizuri zaidi.

Mkuu, nami nimejaribu pia kucheki beforward. Nilichogundua.... naona kama beforward ni wawazi zaidi kuhusu ubovu/defects kwenye gari... yaani picha zao ni kila angle ya gari na sehemu zote zenye ubovu wanaonesha wazi. Hili sijaliona kwa SBT.

Gari nayohitaji beforward nimeikosa. Nimeipata SBT.
 
Wakuu, heshima kwenu.

For the first time, ninahitaji kununua na kumiliki kausafiri.

Niliwaza kuagiza gari kwa kutumia SBT coz naona wana magari mengi ya kuchagua at reasonable prices, na yanaonekana kwenye picha with very nice condition!

Nimejaribu kucheki "AFTER-PURCHASE QUALITY" reviews kwenye website ya Trustpilot, customer feedback ni very bad! Very negative!
https://www.trustpilot.com/review/www.sbtjapan.com

Ila ukicheki customer reviews kwenye website ya SBT wenyewe, feedback ni very positive! Very nice! https://www.sbtjapan.com/testimonials/

Imenichanganya! Naombeni uzoefu wenu ndugu. I am first time buyer, naogopa kuanza na bad experience!

Kupitia SBT, kuna mtu yeyote aliyepokea gari likiwa bovu ama poor quality tofauti na lilivyoonekana kwenye picha? Maana picha za magari zinang'aa na kuvutia sana.

Na je, huko Japan kuna kampuni yoyote ambayo inatoa huduma ya 'pre-purchase inspection'? yaani nipate independent physical inspection kabla ya manunuzi.

Natanguliza shukrani.
SBT Japan ni kampuni kubwa, magari mengi ni yao I believe, wamenunua kwenye mnana na souces nyingine. In general, magari yao ni mzuri tu. Lakini nikupe angalizo. Tunaponunua magari used, wengi wetu tunakimbilia bei kwanza. Gari used nyingi, haza zilizozidi miaka 15 kama wengi tunazonunua ie from 1998 mpaka 2005, lazima ziwe na shida fulani. Kuna shida huwa tunasema ni shida ndogo ndoogo kulingana na umri wa gari, kama water pump, battery, bushings na suspension components in general, timing belt kama ipo, na baadhi ya vitu vya umeme etc.

So kama unanunua gari, haijalishi unanunua SBT, Beforward, Autorec au nani, lazima hivyo vitu uliangalie, na mara nyingi unawasiliana na muuzaji akupe hizo details. In most cases, wanakua honest wanakwambia kama lina shida fulani. Wengine kama Autorec huwa wanasema kama wameirekebisha hiyo shida au la.

Cha msingi ni kuangalia bei. There is no way IST ya mwaka 2005 yenye km 70,000 ikauzwa bei ndogo kuliko IST ya mwaka 2004 yenye km 100,000. So hapo lazima ufuatilie ujue nini kinaendelea. Ndio wengi tunaotaka gari lisiwe na shida sana pindi limefika bongo tunafanya. Ila kukutoa wasiwasi, most used cars zinakuwa na shida fulani, ni moja kati ya sababu ziliyosababisha ziuzwe.

Cha kufanya, take your time, chagua gari, lichambue kwa wauzaji mbali mbali, mpaka utakapopata mmoja anayekupa assurance ya kutosha. Otherwise, kupata assureance ya 100% kuwa gari halina shida ni ngumu saana. By the way, hata brand new cars huwa zinakuwa na shida, ndio maana unapewa warrant pindi unaponunua. So kwa used ni kujiandaa tu kuzipunguza.
 
Mkuu, nami nimejaribu pia kucheki beforward. Nilichogundua.... naona kama beforward ni wawazi zaidi kuhusu ubovu/defects kwenye gari... yaani picha zao ni kila angle ya gari na sehemu zote zenye ubovu wanaonesha wazi. Hili sijaliona kwa SBT.

Gari nayohitaji beforward nimeikosa. Nimeipata SBT.

Be foward ni overrated mkuu wao ni kama vodacom hapa tz, gharama kubwa za vifurushi kwakua tu wao ni giant na wanawateja wengi.
Lkn kumbe unaweza tumia ttcl ukapata huduma kwa gharama ndogo yenye ubora.

Nenda kampuni ambazo sio common sana, wana gar nzuri na bei nzuri km enhance auto au autojp au autorec
 
Back
Top Bottom