Kwa yeyote aliyewahi kuagiza gari online with SBT Japan.

Kwa yeyote aliyewahi kuagiza gari online with SBT Japan.

Kama waliandika ni Raum ya 2017, walikudanganya kidogo. Raum ziliishia mwaka 2011.
Mkuu hii ni Raum ya mwaka 2019
images.jpg
 
Nikweli kupitia kampuni hizo ngeni haijulikani yauhakika ni ipi wengi wametapeliwa lakini hizi kampuni mama mfano beforwad unakuwa na uhakika 100%
huko kwenu ni wapi mkuu ? na hayo mengine ni yapi ?
moja ya sifa za BEFORWARD ni picha zake ziko wazi vyakutosha pili wana wateja wengi sn gari halicherewi, tatu clearing charge hakuna longo longo kila kitu wazi wazi sio SBT inabidi kujadili na mtu mwingine tena baki mbaya wanakuletea wao bora km wangekuwa wanakujulisha wewe uchague mtu wako. Nne hakuna kabisa udokozi....
ni mengi na nina uzoefu sana na BEFORWARD mwisho utanidhania mm nawafanyia Promotion hapana kabisa mm ni mteja wao tu la mwisho wanazo discount point kwa wale wanaonunua magari mengi wanalijua faida yake.
 
SBT Wako vizuri na bei zao ziko chin8 kidogo kuliko hao befoward,mimi niliagiza Rav 4 yenye engine ya 1ZZ toka sep 2016 gari bado inapiga mzigo vizuri,battery,tairi ni hizo hizo zilizikuja na gari,sijawahi badilisha chochote zaidi ya kufanya service na linapiga masafa sana tu
mhhh hadi tyre? hii chai mzee
 
Back
Top Bottom