General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Sbt wako poa sema magar yao sio makali, mileages kubwa. Nenda enhances auto hawa wako poa, wana gar chache lkn zimesimama
Mi nimeagiza gari nyingine kupitia autojp, wana discount ya dola 300. Nimeng’oa ist kali matata, mpk inafika itakula 10.6m
Gari ya kwanza nimeagiza enhance auto tena bila hata kufika ofisini kwao, nikatumiwa invoice nikalipia crdb, gar imefika poa kabisa. Ya pili hivyohivyo ilikuwa ka polo tena kalikuwa kamoja. Sasa imeagiza ist auto jp nimelipia wiki iliyopita nasubiri ije mjini nipige bei
Uzoefu wangu na SBT:unachoona kwenye picha ndicho hicho kitakachokuja. Nimeshadeal nao zaidi ya mara 3. Na huwa ni wafuatiliaji wazuri kwa mteja ili uwape feedback
True. Hata kama gari limechubuka sehemu flani, hawana ile kupiga rangi kuficha hiyo kitu maana hii inaweza kuleta mashaka gari ikifika. Wana gari quality zote. Ni wewe tu kuchagua based on the amount you want to spend kwenye gari. Kitu kingine nimenotice: gari zao nyingine say ya 2001 unakuta inasoma 120,000km wakati company nyingine same year eti gari zinasoma 45,000km. Hapa unaweza kukuta speedmeter imechezewaShukrani mkuu kwa mchango wako. Picha zao kwakweli zinaonesha very nice condition!
"Auto Jp" unamaanisha autocom Japan?
"Auto Jp" unamaanisha autocom Japan?
Nilisha nunua SBT na BE-FORWARD na kwingine
Kwa hakika BEFORWARD is BEST.. FULL STOP
huko kwenu ni wapi mkuu ? na hayo mengine ni yapi ?Katika kununua mnayapenda haya makampuni kwasababu ndio yaliotangulia na kujitangaza ila yapo mengine sio maarufu kwa huku kwetu ila yana magari mazuri
Mimi niliagiza na niliipata gari mkuu mwaka huu mwanzoni boss
True. Hata kama gari limechubuka sehemu flani, hawana ile kupiga rangi kuficha hiyo kitu maana hii inaweza kuleta mashaka gari ikifika. Wana gari quality zote. Ni wewe tu kuchagua based on the amount you want to spend kwenye gari. Kitu kingine nimenotice: gari zao nyingine say ya 2001 unakuta inasoma 120,000km wakati company nyingine same year eti gari zinasoma 45,000km. Hapa unaweza kukuta speedmeter imechezewa
Harafu nadhani pia wana trusted agent(s) wao Bongo wanaoweza kusaidia kuclear hapo bandarini
SBT Wako vizuri na bei zao ziko chin8 kidogo kuliko hao befoward,mimi niliagiza Rav 4 yenye engine ya 1ZZ toka sep 2016 gari bado inapiga mzigo vizuri,battery,tairi ni hizo hizo zilizikuja na gari,sijawahi badilisha chochote zaidi ya kufanya service na linapiga masafa sana tuMkuu, nami nimejaribu pia kucheki beforward. Nilichogundua.... naona kama beforward ni wawazi zaidi kuhusu ubovu/defects kwenye gari... yaani picha zao ni kila angle ya gari na sehemu zote zenye ubovu wanaonesha wazi. Hili sijaliona kwa SBT.
Gari nayohitaji beforward nimeikosa. Nimeipata SBT.
Wako vizuri na bei zao ziko chin8 kidogo kuliko hao befoward,mimi niliagiza Rav 4 yenye engine ya 1ZZ toka sep 2016 gari bado inapiga mzigo vizuri,battery,tairi ni hizo hizo zilizikuja na gari,sijawahi badilisha chochote zaidi ya kufanya service na linapiga masafa sana tu
Consignee: ni wewe mnunuzi ambaye mwisho wa siku card ya gari itaandikwa jina lakoMkuu Consultant , kwenye 'consignee' na 'notify party' panajazwa nani?
Hiyo consignee name ni huyo mwenye gari,mfano kayanda ukawa unamwagizia gari kaka yako,notify ni wewe unayelishugulikia hilo gari so watakua wanakupa updateMkuu naomba unifahamishe, kwenye kuandaa documents za kupokelea gari kutoka nje, ni nini maana ya 'consignee' na 'notify party'?
uwe unaelewa kwanza kabla ya kurespond au kama hujaelewa uliza ebooohKama waliandika ni Raum ya 2017, walikudanganya kidogo. Raum ziliishia mwaka 2011.