Kwa YouTube content creators na wanaomiliki YouTube channel ni kweli U.S imepeitisha sheria ya kodi kwa raia wa nchi zingine pia 30% Tax ?

Ila nikisettle huko mbeleni nitafunguwa channels kuna kila sababu ya kufanya hivyo.... hata kama itapata pesa kidogo...
 
Jambo kubwa ni kjjikita kwenye affiliate marketing na matangazo ya direct kutoka kwa watu utakao zungumza nao yakusponsor videos zako utakazopost
 
Unaweza kumonetize channel Kwa kuuza vitu kama ebooks ulizotengeneza mwenyewe Kwa mfano kama video zako ni tutorials, vitabu vinaweza kupa kipato.

Affiliate mfano WA Amazon kamisheni imepungua siku hizi.
 
Youtube sina hamu nao tena..
Walivoni tapeli $41,500 zangu dah!

Eti wakaandika "suspicious security breach" wakati hela nimei-fight mwaka mzima.
 
Mkuu hizo ni pesa nyingi sana ulitengeneza kwa muda gani na content zako zilihusu nini?

Je ulfuatilia kujuwa nini kilitokea?
 
Unaweza kumonetize channel Kwa kuuza vitu kama ebooks ulizotengeneza mwenyewe Kwa mfano kama video zako ni tutorials, vitabu vinaweza kupa kipato.

Affiliate mfano WA Amazon kamisheni imepungua siku hizi.
6es zipo site mbali mbali wanauza digital product ... mtu anaweza kuzitumia
 
Hiivi unaweza kuwa na AdSense wkt huo huo ukachukua na kuweka ads za kawaida km boutiquea
 
Back
Top Bottom