Mimi mwanayanga ile zile pass zimenitisha.
Wale jamaa kila mtu anajua kupiga pasi na ikafika.
Jana refa alikuwa wetu. Na kama mnavyojua mpira wa africa kila mtu anabebwa na refa akiwa kwake, sasa nawaza zile pasi kule kijijini kwao port hotcourt river state itakuwaje.
Manara kwa kwelii ajiandae viboko vizito. Wanayanga hatunaga uvumilivu kwenye mambo serious.
Tukipigwa 4 kwa 0 kule river state kama mnyama alizopigwa kule soweto na kaizer. Lazima mgogoro mkubwa sana uibuke na msolla na engineer hersi na manara wajiandae kwa zengwe la kufa mtu.
Ushauri kwa msolla na wengine. Waanze maandalizi mapema sana kule nigeria tukapate matokeo mazuri. Timu iende mapema ikazoee hali ya hewa