Kwa zile pasi nilizoziona Dar, kule kijijini kwao River Plate tunaenda kupata msiba mzito

Kwa zile pasi nilizoziona Dar, kule kijijini kwao River Plate tunaenda kupata msiba mzito

Yanga iko vizuri kiuongozi hivi sasa,chochote litakachotokea tutakivumilia

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Na kweli huku mna semaji la kuzimu likifurahia ujinga wenu
FB_IMG_1631647099990.jpg
 
Mpira hauko hivyo mkuu. Unataka kusema jamaa watachezea mpira wa kishirikina? Kama ni mpira huu huu wa kawaida basi Yanga hawashindwi kupindua meza kikubwa ni mamba matatu tu moja ni mbinu na ufundi sahihi hapa ndio uwezo wa mwalimu mzuri unapoonekana. Unaingia na mbinu sahihi kwa kumsoma mpinzani wako. Pili ni uchaguzi sahihi ya wachezaji watakaoweza kuendana na mbinu. Tatu ni wachezaji kucheza kwa jihadi zote. Na la ziada ni kufanya sub kwa wakati sahihi na kwa wachezaji sahihi. Hiyo ndio kanuni ya mpira. Hata hao Rivers wana mapungufu yao hivyo ni kazi ya benchi la ufundi kutoa lock ili kuwafanya wakosee
Hivi unajua kwamba kuna uwezekano wa wachezaji was yanga kama wanne wa kukutwa na covid 19?.
 
Mods ndio wameibadilisha.. mimi niliandika kijijini kwao river state. Maana ndio jina la jimbo wanalotoka hiyo timu, mods wakatoa state na kuweka plate
Kwa ufupi mods anaweza akawa manara vile vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sio kuna uwezekano Bali Wana covid-19 hapo walipo SASA hivi ninavyoandika imebaki tuu kuweka kwenye maandishi rasmi ya caf
Hivi unajua kwamba kuna uwezekano wa wachezaji was yanga kama wanne wa kukutwa na covid 19?.
 
Back
Top Bottom