Kwa zile pasi nilizoziona Dar, kule kijijini kwao River Plate tunaenda kupata msiba mzito

ITC ya Djuma haina msaada kwa sasa,endapo itapatikana ataruhusiwa kucheza round inayofuata kama Yanga itafuzu.Lakini kwa mechi ya marudiano haruhusiwi,kama nilimwelewa vizuri Mwanasheria wa Yanga alilitolea maelezo hili.
 
Sawa hata asipo kuwepo ni swala la wachezaji wenyewe kujitoa jumlisha mbinu sahihi jumlisha upangaji mzuri wa kikosi. Nakumbuka Yanga waliwahi kwenda ugenini dhidi ya Al Ahly na kutolewa kwa mikwaju ya penati miaka ya nyuma. Hivyo kufungwa nyumbani sio tatizo kikubwa ni kujipanga na kuwa makini kwenye kukaba na kutumia nafasi ili kwa dakika 45 cha kipindi cha kwanza wapate goli pasipo kuruhusu goli.
 
Wewe wadanganye tu. Wale jamaa ungewasikia walichosema nafikiri ungewashauri yanga hata wasiende tu.
 
Wewe wadanganye tu. Wale jamaa ungewasikia walichosema nafikiri ungewashauri yanga hata wasiende tu.
Mpira hauko hivyo mkuu. Unataka kusema jamaa watachezea mpira wa kishirikina? Kama ni mpira huu huu wa kawaida basi Yanga hawashindwi kupindua meza kikubwa ni mamba matatu tu moja ni mbinu na ufundi sahihi hapa ndio uwezo wa mwalimu mzuri unapoonekana. Unaingia na mbinu sahihi kwa kumsoma mpinzani wako. Pili ni uchaguzi sahihi ya wachezaji watakaoweza kuendana na mbinu. Tatu ni wachezaji kucheza kwa jihadi zote. Na la ziada ni kufanya sub kwa wakati sahihi na kwa wachezaji sahihi. Hiyo ndio kanuni ya mpira. Hata hao Rivers wana mapungufu yao hivyo ni kazi ya benchi la ufundi kutoa lock ili kuwafanya wakosee
 
POLENI WATANI JIANDAENI KUPOKEA KIPIGO KINGINE HUKO KIJIJINI NA ZENZO NDIO KATANGULIA ANAKWENDA KUUZA GAME YAANI KAZI MNAYO
 
Kama alikua kwenye fomu ugenini akiwa nyumbani yanga wahesabu maumivu tu, balaa la yule mwamba ni mara mbili ya Luis miquissone ..
Yaani Iniesta kanijaza "ujinga" sana. Nikiona mchezaji wa timu yoyote ni mfupi halafu ni kiungo na jezi yake ni namba 8 aisee naanza kumfuatilia kwa makini sana mechi ikiwa inachezwa. Wakina Mukoko na Mauya kazi wanayo.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
yule kijana ana ufundi wa aina yake na confidence ya hali ya juu sana, nilimuona namna ambavyo alikua ana penetrate kwenye safu ya ulinzi ya yanga .. ni hatari sana [emoji91][emoji91]
 
yule kijana ana ufundi wa aina yake na confidence ya hali ya juu sana, nilimuona namna ambavyo alikua ana penetrate kwenye safu ya ulinzi ya yanga .. ni hatari sana [emoji91][emoji91]
Hapo kazaliwa Afrika yetu hii. Angezaliwa Spain je?. Hakika watu wangetafutana. Kumbe tumemuona wengi ee!

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Sasa Wewe Unafikiria Uto Kuna Team Lile Ni Genge Tu
Tungoje Aibu Tupu Toka Nigeria
 
Halafu kwenye heading siyo River plate ,ni River United
 
Halafu kwenye heading siyo River plate ,ni River United

Mods ndio wameibadilisha.. mimi niliandika kijijini kwao river state. Maana ndio jina la jimbo wanalotoka hiyo timu, mods wakatoa state na kuweka plate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…