Mwanaume kupenda mwanamke mwenye makalio makubwa ni sawa naNalo ni swali hata wewe unaweza kujibu,
Angalia avator nyingine za watumiaji wa jamiifolum wameweka picha za makalio ya wanawake. Nimejiuliza ghafla, kwanini baadhi ya wanaume wanapenda makalio ya wanawake. Pia wengine wamehesabu urembo wa dada ni makalio. Kwanini? Unaweza kunijibu.
New #16Mwanaume kupenda mwanamke mwenye makalio makubwa ni sawa na
Mwqnaume mwingine kupenda rangi(demu mweupe, mweusi, maji ya kunde)
Ni sawa na mwanaume kupenda mwanamke mwenye dimpoz
Ni sawa na mwanaume kupenda mguu wa bia
Ni sawa na mwanaume kupenda mwanamke mwenye sura nyembamba
Ni sawa na mwanaume kupenda mwanamke mwenye chuchu saa sita au chuchu kubwa
Ukiangalia vyote hivyo havina mahusiano ya moja kwa moja na kusex lakini tunapenda tu
Sent using Jamii Forums mobile app