Nalo ni swali hata wewe unaweza kujibu,
Angalia avator nyingine za watumiaji wa jamiifolum wameweka picha za makalio ya wanawake. Nimejiuliza ghafla, kwanini baadhi ya wanaume wanapenda makalio ya wanawake. Pia wengine wamehesabu urembo wa dada ni makalio. Kwanini? Unaweza kunijibu.
Ww utakua huna makalio makubwa! Ila unatu tako tudogo nadhani, Wenye makalio makubwa hawajatoa neno mpaka sasa coz wanaelewa what's going on....Ushetani unawasumbua tu wanatufanya wanawake hatuwi comfortable kutuangalia angalia huko nyuma. In short wanakera
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww utakua huna makalio makubwa! Ila unatu tako tudogo nadhani, Wenye makalio makubwa hawajatoa neno mpaka sasa coz wanaelewa what's going on....
Sent from my Infinix X5514D using Tapatalk
Nalo ni swali hata wewe unaweza kujibu,
Angalia avator nyingine za watumiaji wa jamiifolum wameweka picha za makalio ya wanawake. Nimejiuliza ghafla, kwanini baadhi ya wanaume wanapenda makalio ya wanawake. Pia wengine wamehesabu urembo wa dada ni makalio. Kwanini? Unaweza kunijibu.
Mimi ninayo ya kukalia yananitosha mkuuWw utakua huna makalio makubwa! Ila unatu tako tudogo nadhani, Wenye makalio makubwa hawajatoa neno mpaka sasa coz wanaelewa what's going on....
Sent from my Infinix X5514D using Tapatalk
Wewe kalio lako la ukubwa gani?..Ushetani unawasumbua tu wanatufanya wanawake hatuwi comfortable kutuangalia angalia huko nyuma. In short wanakera
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka picha tuone...uzuri mwisho wa siku na sie flat screen tunapendwa vilevile..ngoma droo
Wewe kalio lako la ukubwa gani?..