Kwaanini baadhi ya Wanaume wanapenda makalio makubwa?

Kwaanini baadhi ya Wanaume wanapenda makalio makubwa?

Mm naonaga hata nikifanya mapenzi nakondaga na nakuwa mwepesi .na huwa naweza kuchukua mizigo ila hayana maana kbsa lete flat bhna mibonge hpn

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ulipoleta utafiti wa Marekani umepuyanga mbaya kabisa!

Waafrika na wazungu wanatofautiana ikija kwenye suala la uzuri au mvuto wa mwanamke!
Tofauti iliyopo kwenye jambo hilì ni mbalimbali, kama ilivyo mbali mashariki na magharibi.
 
Back
Top Bottom