Kwaanini baadhi ya Wanaume wanapenda makalio makubwa?

Naelewa kuvutiwa na sura au maziwa lakini makalio yanakuvutia vipi? Sioni maana yake kabisa, kwangu mimi apo ni kama sehemu ambayo kinyesi kinatoka wewe unapendea nini?

Sikuhukumu kabisa ninachotaka kujua ni nini kinachofanya yawe ya kuvutia kwako.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…