Kwaanini baadhi ya Wanaume wanapenda makalio makubwa?



Nenda Temeke kuna bar ina majibu ya swali lako kuanzia definition
 
Ushetani unawasumbua tu wanatufanya wanawake hatuwi comfortable kutuangalia angalia huko nyuma. In short wanakera

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww utakua huna makalio makubwa! Ila unatu tako tudogo nadhani, Wenye makalio makubwa hawajatoa neno mpaka sasa coz wanaelewa what's going on....

Sent from my Infinix X5514D using Tapatalk
 
Mbona hujajiuliza kwanini mademu wengi ...wanapenda wanaume wawatazame...au

Kwanini wanaume wengi huwa hawapaki makalio yao mafuta? Maswali haya ila nimagumu.....daah[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sio baadhi tu, Ni wote wanayapenda! kama wewe pia ni mwanaume basi unayapenda so jipe jibu mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…