Unaweza kupata mbadala wa mbowe chadema kweli? Lisu hawezi kuwa mbadala wa mbowe, Ana uwezo kweli lkn kwa sehemu.Vyama vyote duniani vina demokrasia ya kubadilika kwa mwenyekiti Bila kujali kabila lake.
Sasa Chadema unasemaje ni chama wakati mwenyekiti habadiliki na zingatio la ukabila likiweko!
Hiyo ni Saccos ya ma mangi.
AsanteNa hakuna mahala nimeweka alama ya mabishano..
Kapige kura Chief ya kumbakiza Sultani Mbowe mwenyekiti..😂😂
let's say lissu akashinda uenyekiti, hatujui chadema wamepanga nini, je kama watakubaliana lissu awe mwenyekiti na mbowe awe mgombea urais unaonaje hapo?Binafsi bado sitaridhika, mbowe hana mvuto kbs tena wa kisiasa inatakiwa akae pembeni tuweke kikosi kipya chini ya lissu!
Huyu hana tofauti na Lucas MwashambwaWasted manii
CDM ipo pale pale wale wahuni wa Club House leo wanakwenda kutaga bila Jogoo.Nakumbuka NCCR Mageuzi walimdharau Lyatonga Mrema Lakini alivyowatenda Chama kimedumaa hadi Leo
CUF nayo ndio wale wale
Sasa ni zamu ya chadema
Nawatakia uchaguzi mwema!
ulishawahi kufikiria kwa kutumia makalio?Unafikiria kwa kutumia ubongo au makalio?
Halafu kikafika wapi?Lakini baada ya Mrema NCCR kiliweza kupata wanasiasa nguli kama James Mbatia na Angelina Rutairwa🐼
usidharauUnaweza kupata mbadala wa mbowe chadema kweli? Lisu hawezi kuwa mbadala wa mbowe, Ana uwezo kweli lkn kwa sehemu.
Na hawezi kumudu uenyekiti chama kitakufa tu
Uwezo wake unajulikana shida Ni udhaifu wake upo wazi mno tofauti na alkael ambaye utatumia muda mwingi kumsoma na hata hivyo bado atakupa kigugumizi kumuhukumuusidharau
Ndoto.Nakumbuka NCCR Mageuzi walimdharau Lyatonga Mrema Lakini alivyowatenda Chama kimedumaa hadi Leo
CUF nayo ndio wale wale
Sasa ni zamu ya chadema
Nawatakia uchaguzi mwema!
Nakumbuka NCCR Mageuzi walimdharau Lyatonga Mrema Lakini alivyowatenda Chama kimedumaa hadi Leo
CUF nayo ndio wale wale
Sasa ni zamu ya chadema
Nawatakia uchaguzi mwema!
[/QUOTE
mazingira ya hayo mavyama mengine ni tofauti na cdm ya sasa. utaona
Umeshawaaga Chadema halafu unamalizia kwa kuwatakia uchaguzi mwema. Ina maana huko wanakoenda waliko kina CUF, TLP na NCCR nako kuna uchaguzi?Nakumbuka NCCR Mageuzi walimdharau Lyatonga Mrema Lakini alivyowatenda Chama kimedumaa hadi Leo
CUF nayo ndio wale wale
Sasa ni zamu ya chadema
Nawatakia uchaguzi mwema!
🤣🤣🤣🤣🤣lakini siku hii ni ngumu sana kaka.Unaotaga ndoto za kipumbavu mno. Wait and see......
Siku ngumu sana hii mkuuPolitiical atmospheric pressure iliyotanda ni Lissu ashinde, itakuwa vibe kubwa kuliko mbowe akishinda ushindi wake hautakuwa na vibe. Ushindi wa mbowe kwa CCM ni mchekea, mbowe hatakuwa na hoja kuirusharusha kichura CCM, watamjibu firmly akae kimya kwani wana hoja za kumjibu, wana data yanayotendeka uchaguzi wa chadema. Ila ushindi wa Lissu ni muhimu kwa siasa za ushindani, ana hoja
Na bado hujasemaNakumbuka NCCR Mageuzi walimdharau Lyatonga Mrema Lakini alivyowatenda Chama kimedumaa hadi Leo
CUF nayo ndio wale wale
Sasa ni zamu ya chadema
Nawatakia uchaguzi mwema!
Aisee.... 🤣🤣🤣🤣Wasted manii