nyoka in
JF-Expert Member
- Aug 27, 2024
- 518
- 318
Unaweza kupata mbadala wa mbowe chadema kweli? Lisu hawezi kuwa mbadala wa mbowe, Ana uwezo kweli lkn kwa sehemu.Vyama vyote duniani vina demokrasia ya kubadilika kwa mwenyekiti Bila kujali kabila lake.
Sasa Chadema unasemaje ni chama wakati mwenyekiti habadiliki na zingatio la ukabila likiweko!
Hiyo ni Saccos ya ma mangi.
Na hawezi kumudu uenyekiti chama kitakufa tu