Kwaheri Chadema ukifika Uendako wasalimie NCCR Mageuzi, CUF na TLP waambie CHAUMA anawasalimia sana!

Kwaheri Chadema ukifika Uendako wasalimie NCCR Mageuzi, CUF na TLP waambie CHAUMA anawasalimia sana!

Vyama vyote duniani vina demokrasia ya kubadilika kwa mwenyekiti Bila kujali kabila lake.
Sasa Chadema unasemaje ni chama wakati mwenyekiti habadiliki na zingatio la ukabila likiweko!
Hiyo ni Saccos ya ma mangi.
Unaweza kupata mbadala wa mbowe chadema kweli? Lisu hawezi kuwa mbadala wa mbowe, Ana uwezo kweli lkn kwa sehemu.

Na hawezi kumudu uenyekiti chama kitakufa tu
 
Binafsi bado sitaridhika, mbowe hana mvuto kbs tena wa kisiasa inatakiwa akae pembeni tuweke kikosi kipya chini ya lissu!
let's say lissu akashinda uenyekiti, hatujui chadema wamepanga nini, je kama watakubaliana lissu awe mwenyekiti na mbowe awe mgombea urais unaonaje hapo?
 
Nakumbuka NCCR Mageuzi walimdharau Lyatonga Mrema Lakini alivyowatenda Chama kimedumaa hadi Leo

CUF nayo ndio wale wale

Sasa ni zamu ya chadema

Nawatakia uchaguzi mwema!
CDM ipo pale pale wale wahuni wa Club House leo wanakwenda kutaga bila Jogoo.
 
nasoma sana comments siku hizi kupima upepo wa FAM NA FIAT.Tanzania kungekuwa na demokrasia ya kweli bhc mshindi anajulikana wazi mana na huyo mshindi angegombea uchaguzi mkuu na pia demokrasia ikafuatwa angeshinda huyohuyo mana kwa utafiti nilofanya pia hata rais aliyepo hana kabisa mvuto kwa wananchi achaneni na hizi propaganda chunguzeni mtaona ila kwakuwa no true democracy, nothing can change!!!
 
mazing
Nakumbuka NCCR Mageuzi walimdharau Lyatonga Mrema Lakini alivyowatenda Chama kimedumaa hadi Leo

CUF nayo ndio wale wale

Sasa ni zamu ya chadema

Nawatakia uchaguzi mwema!
[/QUOTE

mazingira ya hayo mavyama mengine ni tofauti na cdm ya sasa. utaona
 
Nakumbuka NCCR Mageuzi walimdharau Lyatonga Mrema Lakini alivyowatenda Chama kimedumaa hadi Leo

CUF nayo ndio wale wale

Sasa ni zamu ya chadema

Nawatakia uchaguzi mwema!
Umeshawaaga Chadema halafu unamalizia kwa kuwatakia uchaguzi mwema. Ina maana huko wanakoenda waliko kina CUF, TLP na NCCR nako kuna uchaguzi?
 
Politiical atmospheric pressure iliyotanda ni Lissu ashinde, itakuwa vibe kubwa kuliko mbowe akishinda ushindi wake hautakuwa na vibe. Ushindi wa mbowe kwa CCM ni mchekea, mbowe hatakuwa na hoja kuirusharusha kichura CCM, watamjibu firmly akae kimya kwani wana hoja za kumjibu, wana data yanayotendeka uchaguzi wa chadema. Ila ushindi wa Lissu ni muhimu kwa siasa za ushindani, ana hoja
 
Siku ngumu sana hii mkuu
 
Cdm italuwa imara zaidi msiyempenda ndiye atamshinda kwa kishindo mwamba tuvishe
 
Back
Top Bottom