Kwaheri DAR ES SALAAM, Madame B nimehamia rasmi mkoani Dodoma. DODOMA NIPOKEENI.

Karibu Dodoma mlembo kama vipi tuonane tufahamiane maana undugu huanza hivi..mie nipo hapa Dom siku nyingi njoo ujionee mzigo mpya wa majeneza ya kisasa na punguzo maalum la kufunga mwaka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Karibu Sana.. Tupo tupo.
🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Dada Kuanzia Jana saa 12 nakutafuta.
Habari za Chama unazo [emoji848][emoji848]
 
dodoma... weekend nilikuwa huko nimeondoka jpili saa kumi alfajiri... nilikesha ROYAL pale napiga kilaji ilivyofika kumi alfajiri nikakamata road

pamechangamka sana siku hizi tatizo kwa sisi watu wa kuja nakuondoka tunapata sana kwanzia ijumaa huko kwanzia hotel hadi lodge zinakuwa zinajaa sasa inabidi tukeshe tunapiga vilaji bila kupenda
 
Desert parm hotel Area D
Wala sipafahamu.
Nahisi nikianza kuzurura nitapafahamu sehemu za bata kwa usaidizi wako.
Ni hotel yenye club maana mie kwa muziki, ni balaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…