Habarini.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
NIMEUHAMA RASMI MKOA WA DAR ES SALAAM, na sasa natambulika rasmi kama
MKAAZI HALALI WA MKOA WA DODOMA
Kwaheri Dar na starehe zake zote.
Nitawamiss sana rafiki zangu niliowaacha Dar ambao tulikutana Jf na nje ya Jf.
Wana Dodoma naomba mnikaribishe mkoani kwenu.
ā
Tufufue Dodoma wing.
āTukutane kila Ijumaa au Jumamosi ya mwisho wa mwezi kwa wana Dodoma.
āKutafuta mlezi na mfadhili wa Dodoma wing (hili swala nitalishughulikia mimi)
Watu wa Dodoma tujuane na tuwe na kundi letu kwa atakayependa.
Karibu Pm kwa mwanaJf uliye Dodoma, kama hutataka nikutambue hapa jukwaani.
Now nipo Rainbow
Kesho mkesha Malaika lounge
Karibuni
ILA NAIACHA DAR HUKU MOYO UNANIUMA SANA HASA KINONDONI NILIPOKUWA NAISHI.
View attachment 975782