Kwaheri Dkt. Magufuli, karibu uonevu

Kwaheri Dkt. Magufuli, karibu uonevu

Tulimuamini sana JPM tulijua jambo la kipuuzi likifika kwake waliofanya upuuzi lazima wakione cha moto. Na watendaji walijua Magufuli anamaanisha na hatanii ndio maana hata kama walifanya kwa uoga lakini iliwabidi wafanye.

Mkurugenzi akisikia kuna uozo sehemu hata kama ni mzembe alijua asipofatilia yeye ndio atawajibishwa so aliibana system yake and so on.

Mama Samia kazi yake kubwa itakuwa kuongeza uzito kwenye kusimamia uwajibikaji, kero za watanzania ni mambo madogo madogo uko kwenye maofisi ya halmashuri, kwenye mahospitali kwenye idara za serikali. Walirudi zama zile za ukiwa ukifanyiwa dhulma hakuna pakusema Mama atatuangusha na atawapa msemo hiki chama cha kaskazini.


Yaan unaweza haribu maana nzima kwa kushindwa kuweka au kuongeza h...umemaanisha Mama atatuangusha au hatatuangusha?? C'mooon
 
Ukiwasikiliza CCM unaweza sema nchi imepata uhuru 2015
Ukiwasikiliza CCM unaweza sema nchi imepata uhuru 2015
Hahahaha ahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaaaani nimecheka kwa nguvu hadi walinzi wangu wameshtuka![emoji16][emoji16][emoji16]



Mambo ya John Pombe Joseph Magufuli yakitajwa yanawauma eeeee

Na mjue kabisa ameacha misingi imara...... Poleni kwa maumivu ya wivu na chuki
 
Back
Top Bottom