Kwaheri Dkt. Magufuli, karibu uonevu

Kwaheri Dkt. Magufuli, karibu uonevu

Ndio maana tunapiga kelele mifumo iboreshwe, kama sheria zipo, polisi wapo mahakama, bunge lipo, kwanini tuhofu kuonewa? Ni kwa sababu hizo taasisi haziko imara. Yeye JPM ndio kachangia kwa sababu aliwaaminisha watu yeye ndio suluhu ya kila kitu, Si mahakama si Bunge wala Jeshi, akifanya uamuzi hakuna wa kupinga.

Sasa matokeo yake Yeye kaondoka tunarudi kwenye wasiwasi uleule alioukuta na akaucha, yeye aliamini katika Mtu imara sio taasisi imara.
too bad ni kwamba hakuwa anaweaka sheria maalumu au utaratibu wa kufuata pale mtu anapoonewa sasa kazi ipo halafu hawa hawa vionozi waliokuwa wanajifanya faithfull kwake ndo wa kwanza kuafanya ujinga
 
too bad ni kwamba hakuwa anaweaka sheria maalumu au utaratibu wa kufuata pale mtu anapoonewa sasa kazi ipo halafu hawa hawa vionozi waliokuwa wanajifanya faithfull kwake ndo wa kwanza kuafanya ujinga
Akina polepole na mwigulu nchemba.
 
Wanyonge wa Tanzania urithi walioachiwa na hayati Magufuli ni " Ujasiri"

Usiwachukulie poa bwashee!
Hofu yangu ni kuwa ikitokea matajiri na mafisadi wakarudi kwenye enzi zao basi fujo maandamano na hata baadhi misafara yao kutupiwa mawe litakuwa ni Jambo la kawaida...Magu ameleta ujasiri wa ajabu miongoni mwa WATANZANIA wa kawaida...
 
Hofu yangu ni kuwa ikitokea matajiri na mafisadi wakarudi kwenye enzi zao basi fujo maandamano na hata baadhi misafara yao kutupiwa mawe litakuwa ni Jambo la kawaida...Magu ameleta ujasiri wa ajabu miongoni mwa WATANZANIA wa kawaida...
Sema kaleta hofu na ujinga na si vinginevyo.
 
Hahahaha ahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaaaani nimecheka kwa nguvu hadi walinzi wangu wameshtuka![emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe utakuwa ni wale watu wa kabila fulani lenye kupenda misifa na ulimbukeni[emoji2957].Sikuona sababu ya kuwazungumzia walinzi(kama kweli unao).[emoji28][emoji28]
 
Sema kaleta hofu na ujinga na si vinginevyo.
Kwako wewe ameleta...ujinga, upumbavu na ushenzi wa kusherehekea kifo Cha JPM...ujuha wa kutoona kuwa mtu huyu alikuwa anapendwa na Watanzania...ujuha wa kudhani kuwa JPM alikuwa anachukiwa na Watanzania..
Happy ulipo una hofu kubwa kabisa kuwa mnaweza mkafanyiwa revenge kwa kifo...wewe una hofu hiyo, Lissu Ana hofu hiyo...Lema ana hofu hiyo...wewe ukiwa ndani kwako ukisikia tu kelele za mjusi kwenye paa la nyumba yako unapatwa na hofu kuwa pengine unatafutwa kwa comments...kwenye mijadala mitaani unashindwa kuchangia mada kuhusu Magufuli kwa hofu kubwa...ila kwenye mitandao umejificha nyuma ya keyboard kuweka comments zako kiuoga...huwezi kutamka hadharani kuwa Magufuli alikuwa mbaya...utafanya hivyo tu kwa mkeo au mumeo ambaye huna naye...Yaani hivi Sasa mnaishi kwa hofu...kwenye daladala mnakuwa wanyonge kwani mkifanya fyofyoko mtafinyangwa Kama udongo na umma...maishi Bila raha...mmekosa amani...you are cowards...
 
Kwakuwa kazi ya Rais ni kuchukua maamuzi ya papohapo na kujichanganya na watu...

Uko sawa kabisa
mambo ya michakatoo kuchakata ni wasting of time.you has to act very on the spot by solving things not wait letter s to come to the office and start michaktooo have changed now tanzania
 
Ni mengi yatakimbia na kuonekana kama ndoto iliyootwa usiku na kusimuliwa na baadae kutoweka.Inaeleweka wazi na bila ya chenga zozote kuwa Mheshimiwa marehemu Raisi John Pombe Magufuli alikuwa kioo cha utawala bora Tanzania, kwa maana mema yake yalionekana na mabaya yake hayakujificha.

Kwa mtazamo huo yeyote yule atakaechaguliwa atasoma kutoka kwa marehemu na ataelewa Watanzania walipenda kitu gani na walichukizwa na jambo gani, vyombo vingi vya serikali vilikaa sawa kwa wananchi na vyombo hivyohivyo vilitumika kuikiza haki.

Wananchi wanaosemekana ni wanyonge walitumika kama ukuta mkubwa unaozuia kuona yaliyo ndani na ndio hivyo hivyo sifa zilipatikana nyingi kwani maovu yalikuwa machache na yanahesabika japo kuna yasiyofutika na yanayotia huzuni kwa wachache.

Kuna vyombo au viongozi wa Serikali waliokuwa wameficha makucha yao hili ni kundi lenye hasira sana ,maana wakati ule wakiogopa hukumu za papo kwa papo ,zinazotka kwenye mamlaka na sio mahakama.

Sasa tuelewe mazuri yote yalitokana na Raisi mwenyewe yeye kama yeye na ukichunguza mabaya yote yalitokana na Chama chake kwa ujumla wake na ujumla wao.

Rais alikuwa na roho nzuri sana lakini chama chake kimejaa walio na roho mbaya, Rais aliweza kuwadhibiti hawa katika mamlaka yake na kwenye zile njia zitakazompaisha kama ni mpenda maendeleo na mpenda kuona mwananchi wa chini hadhulumiwi anahakikisha anawasaidia hata kwa kutoa hela zake mfukoni, akiwajengea mazingira rafiki ya kufanya kazi, si bodaboda, si mamantilie si wamachinga na wengine wengi.

Hili ndilo lilompa uthubutu wa kupendwa huku uraiani, mambo makubwa ambayo yaliutia doa utawala wake yapo na yataendelea kuwepo. Rais aliepo madarakani anaweza kuyatumia hayo yakazidi kumpa respect kwa upande wake.
Natumaini wewe ni mmoja wa hao wanaoitwa wanyonge "masikini mwenye roho ya kwa nini"
 
mambo ya michakatoo kuchakata ni wasting of time.you has to act very on the spot by solving things not wait letter s to come to the office and start michaktooo have changed now tanzania
Kwani ungetumia Kiswahili kumuenzi anko Magu ungepungukiwa na nini??

Kama hujaambiwa basi nakufahamisha kuwa Kiingereza hukijui kabisa...

Tumia tu kiswahili ndugu yangu. Kiswahili ni lugha ya Taifa
 
Alisha lala mzee tusimseme vibaya Wala kumsifia, sote tutakufa tu cha msingi tupige kazi tupate hela za kula na ma pis kal
 
Ujinga tuuu, hii nchi aliyeiumba ni nani? Acheni kumpa sifa JPM hata zisizomstahli .....
Sifa sizistahili ni zipi?,kipindi cha JPM zile kauli za kwamba "UNANIJUA MIMI NI NANI? " ,Zilikua zimeisha,na pia kipindi cha JPM ulisikia wapi watu wamelala saa mbili usiku kisa vijana wa PANYA ROAD wamefunga mtaa?
 
Fanyeni kazi mlizoea majungu kuandika barua za malalamiko kwa mkulu kila siku wakati Jambo lingeweza kutatuliwa tu, kila anakopita mtu umecheleweshewa kitu kidogo mnaleta umbea mtu afukuzwe kazi. Enzi za umbea na kujisononesha kwa kujifanya wamadikini na wanyonge imepitwa, fanyeni kazi the world is not meant for the innocent pambaneni it's all about survival of the fittest. Msilete vilio vya kijinga
 
Back
Top Bottom