Kwaheri Dkt. Magufuli, karibu uonevu

Kwaheri Dkt. Magufuli, karibu uonevu

Kabla sijakujibu niambie unaishi wapi na unafanya shughuli gani ili niweze kukupa jibu mubashara kulingana na uelewa na uzoefu wako
Basi huna majibu ndio jibu lako unataka kujua naishi wapi na nafanya shughuli gani kwa kweli hiyo taabu lkn maisha ya watu yamezidi kuwa mabaya ktk kipindi cha huyu bwana mkubwa .Sasa nakupa guarantee ya kipindi cha huyu Mama Samia mabadiliko makubwa na maisha yatakuwa mazuri In shaa allah na utakuja kunambia.
 
Sawa Shadow7πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila usiulize kwanini nimecheka hadi tumalize msiba

Lala salama kipenzi chetu John Pombe Magufuli πŸ’”

😳 😳 Sawa mkuu ngoja tuzike kwanza nitakuuliza
 
Basi huna majibu ndio jibu lako unataka kujua naishi wapi na nafanya shughuli gani kwa kweli hiyo taabu lkn maisha ya watu yamezidi kuwa mabaya ktk kipindi cha huyu bwana mkubwa .Sasa nakupa guarantee ya kipindi cha huyu Mama Samia mabadiliko makubwa na maisha yatakuwa mazuri In shaa allah na utakuja kunambia.
Nimekuelewa, ila ujue tuu mama Samia Suluhu Hassan harudi nyuma kama unavyofikiri😎
Kueleweshana zaidi tukutane hapa december tukijaliwa uzimaπŸ‘£πŸ‘£
 
Nimekuelewa, ila ujue tuu mama Samia Suluhu Hassan harudi nyuma kama unavyofikiri😎
Kueleweshana zaidi tukutane hapa december tukijaliwa uzimaπŸ‘£πŸ‘£
Tatizo wasukuma wanadhani kiongozi bora lazima awe msukuma...

Sisi tuna imani na mama Samia.

Mama anatosha... tunaenda naye
 
Nimekuelewa, ila ujue tuu mama Samia Suluhu Hassan harudi nyuma kama unavyofikiri😎
Kueleweshana zaidi tukutane hapa december tukijaliwa uzimaπŸ‘£πŸ‘£
Alaa kwani Mimi nafikiria Mama Samia atarudi nyuma kuridi nyuma ni kegeuka jiwe mm nakwambia nchi itazidi kuendelea na watu wote mutampenda huyu Mama labda wale wanafik kwa ajili ya maslahi yao binafsi najua atapata challange nadiya chama chake lkn nampenda ni mtu wa misimamo lkn si kwa style ile Magu unajifanya mtu wa mungu hana uiwano ktk mawaziri kati ya 20 unawapa waislamu mawziri 3 tu c mon.
 
Tatizo wasukuma wanadhani kiongozi bora lazima awe msukuma...

Sisi tuna imani na mama Samia.

Mama anatosha... tunaenda naye
Tunamshukuru Mungu kwaajili ya zawadi ya uhai wa John Pombe Magufuli kwa taifa hili, amemaliza kazi yake apumzike kwa amaniπŸ’”

Mwisho wa Magufuli ni mwanzo wa Samia, tuna imani nae na tumuombee afya na Mungu amzidishie hekima na ulinzi wake

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu HassanπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ”₯πŸ”₯
 
Amina. ..

Sasa mwambie huyo kiherehere anayedhani kuondoka kwa Magu ndo mwanzo wa uonevu...

Mama Samia anatosha. Mama mnyenyekevu, mcha Mungu na mchapakazi...
 
sijui nani tena atayekuja ambaye atakula mahindi na kunywa kahawa vijiwen,. mim sijawah kuona mkuu yoyote akila njian madafu na mahindi.tulikua tubaburudika sana kwa maamuz ya papo kwa papo .
 
Asprin habari ya siku nyingi? Pole na msiba ndugu yangu
Nimeshapoa Mama D. Ni msiba wetu sote.... pole na wewe.

Maisha lazima yasonge mbele...

Twende na mama...

Achana na hayo majinga yanayodhani mama hawezi. Wanataka sijui kumlinganisha Magu na Mungu?

Walikuwepo kina Nyerere, wamepita na bado tunasonga mbele...

Wasitutishe, ebooo!
 
sijui nani tena atayekuja ambaye atakula mahindi na kunywa kahawa vijiwen,. mim sijawah kuona mkuu yoyote akila njian madafu na mahindi.tulikua tubaburudika sana kwa maamuz ya papo kwa papo .
Sure... kiongozi mzuri ni yule anayekula mahindi barabarani...

Ndo akili za kikalimani hizi...
 
Ndio maana tunapiga kelele mifumo iboreshwe,kama sheria zipo,polisi wapo mahakama,bunge lipo, kwanini tuhofu kuonewa?Ni kwa sababu hizo taasisi haziko imara,Yeye JPM ndio kachangia kwa sababu aliwaaminisha watu yeye ndio suluhu ya kila kitu,Si mahakam si Bunge wala Jeshi,akifanya uamuzi hakuna wa kupinga,

Sasa matokeo yake Yeye kaondoka tunarudi kwenye wasiwasi uleule alioukuta na akaucha,yeye aliamini katika Mtu imara sio taasisi imara.
Kwakua yeye alikuwa mtu imara, ametuachia kazi ya kuleta taasisi imara huku tukiwaweka watu imara kama yeye...He was not God he did his part we need to do ours...Ametuachia urithi mwema; itakua ajabu tukishindwa kuuendeleza
 
Hakuna cha uonevu wala nini yeye ndio alionea watu kuua kuteka kutesa ukisema chochote kosa kwani yeye alikua Mungu? imekula kwenu nchi ni ya watu wote zaidi ya Milioni 60 na sio watu wachache waliojimilikisha.
 
Asprin habari ya siku nyingi? Pole na msiba ndugu yangu
Kumbe Mama D weye ni msukuma ndio maana sasa nimekulewa .Mungu mkubwa sana kwa kweli hii mulikuwa munataka kuitia kwenye ukabila wa wazi wazi kwa hiyo harufu ya ukabila ipo lkn mukitafanya mchana kweupe mm naangalia mambo under ground siangalii kijuu juu tu .
 
Alaa kwani Mimi nafikiria Mama Samia atarudi nyuma kuridi nyuma ni kegeuka jiwe mm nakwambia nchi itazidi kuendelea na watu wote mutampenda huyu Mama labda wale wanafik kwa ajili ya maslahi yao binafsi najua atapata challange nadiya chama chake lkn nampenda ni mtu wa misimamo lkn si kwa style ile Magu unajifanya mtu wa mungu hana uiwano ktk mawaziri kati ya 20 unawapa waislamu mawziri 3 tu c mon.

Kumbe wewe mbaguzi eee, wakati Magufuli anawanachagua hao mawaziri Samia alikuambia hakushirikishwa? Acha kufikiria vitu vya kukurudisha nyuma.

Halafu nikuulize swali Samia na Majaliwa walipochaguliwa na Magufuli tena mara ya pili walikua wakristu?

Walinzi na wasaidizi wa Magufuli wote walikua wakristu?

Jaji mkuu, msemaji mkuu wa wa serikali, mkuu wa usalama wa taifa nao walikua waislam wakabadili dini ndio wakateuliwe?

Acha fikra za kimaskini, watu kama nyie ndio mnaotuharibia ustawi wa taifa

Nafasi za mawazi wapewe wenye uwezo bila kuangalia dini wala jinsia

Nakupa na bonus ya video ujifunze maana kuna mambo ukiyaongea kwenye Tanzania ya leo yanakunya udharaulike na serikali na wananchi wanamjua Magufuli

Nimeshapoa Mama D. Ni msiba wetu sote.... pole na wewe.

Maisha lazima yasonge mbele...

Twende na mama...

Achana na hayo majinga yanayodhani mama hawezi. Wanataka sijui kumlinganisha Magu na Mungu?

Walikuwepo kina Nyerere, wamepita na bado tunasonga mbele...

Wasitutishe, ebooo!

Amina

Hata mitume waliondoka, Yesu na Mohammed wenye wafuasi dunia nzima leo hawapo lakini wafuasi wao wameilinda imani

Watanzania wake kwa waume, viongozi na wasio viongozi tulinde na kuyaenzi mema yote aliyofanya John Pombe Magufuli wakati wa uhai wake. Hiyo ndio itakua faraja yetu

Samia hawezi kuwa Magufuli wala Magufuli hakuwahi kuwa kikwete, kikubwa ni kuendeleza pale alipoishia Magufuli na kuilinda Tanzania yetu

Back
Top Bottom