Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi huna majibu ndio jibu lako unataka kujua naishi wapi na nafanya shughuli gani kwa kweli hiyo taabu lkn maisha ya watu yamezidi kuwa mabaya ktk kipindi cha huyu bwana mkubwa .Sasa nakupa guarantee ya kipindi cha huyu Mama Samia mabadiliko makubwa na maisha yatakuwa mazuri In shaa allah na utakuja kunambia.Kabla sijakujibu niambie unaishi wapi na unafanya shughuli gani ili niweze kukupa jibu mubashara kulingana na uelewa na uzoefu wako
Sawa Shadow7πππππ
Ila usiulize kwanini nimecheka hadi tumalize msiba
Lala salama kipenzi chetu John Pombe Magufuli π
Nimekuelewa, ila ujue tuu mama Samia Suluhu Hassan harudi nyuma kama unavyofikiriπBasi huna majibu ndio jibu lako unataka kujua naishi wapi na nafanya shughuli gani kwa kweli hiyo taabu lkn maisha ya watu yamezidi kuwa mabaya ktk kipindi cha huyu bwana mkubwa .Sasa nakupa guarantee ya kipindi cha huyu Mama Samia mabadiliko makubwa na maisha yatakuwa mazuri In shaa allah na utakuja kunambia.
Wasukuma wengi wana matatizo makubwa sana kwenye medulla yao...Ujinga tuuu, hii nchi aliyeiumba ni nan ? Acheni kumpa sifa JPM hata zisizomstahli .....
Tatizo wasukuma wanadhani kiongozi bora lazima awe msukuma...Nimekuelewa, ila ujue tuu mama Samia Suluhu Hassan harudi nyuma kama unavyofikiriπ
Kueleweshana zaidi tukutane hapa december tukijaliwa uzimaπ£π£
Asprin habari ya siku nyingi? Pole na msiba ndugu yanguWasukuma wengi wana matatizo makubwa sana kwenye medulla yao...
Alaa kwani Mimi nafikiria Mama Samia atarudi nyuma kuridi nyuma ni kegeuka jiwe mm nakwambia nchi itazidi kuendelea na watu wote mutampenda huyu Mama labda wale wanafik kwa ajili ya maslahi yao binafsi najua atapata challange nadiya chama chake lkn nampenda ni mtu wa misimamo lkn si kwa style ile Magu unajifanya mtu wa mungu hana uiwano ktk mawaziri kati ya 20 unawapa waislamu mawziri 3 tu c mon.Nimekuelewa, ila ujue tuu mama Samia Suluhu Hassan harudi nyuma kama unavyofikiriπ
Kueleweshana zaidi tukutane hapa december tukijaliwa uzimaπ£π£
Tunamshukuru Mungu kwaajili ya zawadi ya uhai wa John Pombe Magufuli kwa taifa hili, amemaliza kazi yake apumzike kwa amaniπTatizo wasukuma wanadhani kiongozi bora lazima awe msukuma...
Sisi tuna imani na mama Samia.
Mama anatosha... tunaenda naye
Amina. ..Tunamshukuru Mungu kwaajili ya zawadi ya uhai wa John Pombe Magufuli kwa taifa hili, amemaliza kazi yake apumzike kwa amaniπ
Mwisho wa Magufuli ni mwanzo wa Samia, tuna imani nae na tumuombee afya na Mungu amzidishie hekima na ulinzi wake
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu HassanπΉπΏπ₯π₯
For sure I love this!Wanyonge wa Tanzania urithi walioachiwa na hayati Magufuli ni " Ujasiri"
Usiwachukulie poa bwashee!
Nimeshapoa Mama D. Ni msiba wetu sote.... pole na wewe.Asprin habari ya siku nyingi? Pole na msiba ndugu yangu
Sure... kiongozi mzuri ni yule anayekula mahindi barabarani...sijui nani tena atayekuja ambaye atakula mahindi na kunywa kahawa vijiwen,. mim sijawah kuona mkuu yoyote akila njian madafu na mahindi.tulikua tubaburudika sana kwa maamuz ya papo kwa papo .
Kwakua yeye alikuwa mtu imara, ametuachia kazi ya kuleta taasisi imara huku tukiwaweka watu imara kama yeye...He was not God he did his part we need to do ours...Ametuachia urithi mwema; itakua ajabu tukishindwa kuuendelezaNdio maana tunapiga kelele mifumo iboreshwe,kama sheria zipo,polisi wapo mahakama,bunge lipo, kwanini tuhofu kuonewa?Ni kwa sababu hizo taasisi haziko imara,Yeye JPM ndio kachangia kwa sababu aliwaaminisha watu yeye ndio suluhu ya kila kitu,Si mahakam si Bunge wala Jeshi,akifanya uamuzi hakuna wa kupinga,
Sasa matokeo yake Yeye kaondoka tunarudi kwenye wasiwasi uleule alioukuta na akaucha,yeye aliamini katika Mtu imara sio taasisi imara.
Na wanyonge wakiaminishwa kuwa unyonge ni baraka wanaishi kwa amani kabisa!!!na kuona kumbe utajiri hauna maana, na tajiri ni adui wao!!!Wanyonge wa Tanzania urithi walioachiwa na hayati Magufuli ni " Ujasiri"
Usiwachukulie poa bwashee!
Kumbe Mama D weye ni msukuma ndio maana sasa nimekulewa .Mungu mkubwa sana kwa kweli hii mulikuwa munataka kuitia kwenye ukabila wa wazi wazi kwa hiyo harufu ya ukabila ipo lkn mukitafanya mchana kweupe mm naangalia mambo under ground siangalii kijuu juu tu .Asprin habari ya siku nyingi? Pole na msiba ndugu yangu
Alaa kwani Mimi nafikiria Mama Samia atarudi nyuma kuridi nyuma ni kegeuka jiwe mm nakwambia nchi itazidi kuendelea na watu wote mutampenda huyu Mama labda wale wanafik kwa ajili ya maslahi yao binafsi najua atapata challange nadiya chama chake lkn nampenda ni mtu wa misimamo lkn si kwa style ile Magu unajifanya mtu wa mungu hana uiwano ktk mawaziri kati ya 20 unawapa waislamu mawziri 3 tu c mon.
Nimeshapoa Mama D. Ni msiba wetu sote.... pole na wewe.
Maisha lazima yasonge mbele...
Twende na mama...
Achana na hayo majinga yanayodhani mama hawezi. Wanataka sijui kumlinganisha Magu na Mungu?
Walikuwepo kina Nyerere, wamepita na bado tunasonga mbele...
Wasitutishe, ebooo!