Kwaheri Dkt. Mkamilo, tunaomba Rais Samia utuletee Mkurugenzi mpya wa TARI

Kumbe na sisi humu ndani tunanunulika? Nimekudharau umekua bidhaa cheap!!

TARI TARI TARI utafikiri ndo roho ya nchi. Ndo maana wabongo mnarogana kwa sababu ya vyeo. PUUMBAVU
 
Watanzania kwa kusagiana kunguni hatujambo.
Wewe ulihamishiwa kigoma kwa kuwa ulikuwa unafuja pesa za umma.
Badala ya kumshukuru kwa kutokushitakiwa au kufukuzwa kazi unamsagia kunguni hapa jf.
Umri wa kustaafu kwa mkurugenzi wa TARI ni miaka 65, kwa hiyo, ndugu yangu, huyo bado yupo yupo sana
 
Mbona huulizi Dk. Albina Chuwa wa NBS.
 
We utakuwa mwanaye au mnufaika wa upigaji wake. Kama ni majungu kazi ya vyombo vya usalama ni nini. Acha wachunguze ili wathibitishe kuwa ni majungu au siyo. Mimi kama hata simfahamu lakini taarifa zinazozagaa mitandaoni zimenishawishi kuwa anafaa achunguzwe. Ikigundulika ni mwadilifu basi maisha mengine yaendelee lakini kama ni fidadi apelekwe tu mahakamani.
 
Bora tumpe mleta uzi
Mmmh hatari sana. Nilimsikia mzee moja wa TARI ambaye ni mstaafu akisema ile Taasisi Dr. Mkamilo anaiua si muda mrefu maana anachota hela na kuwahonga viongozi wa serikali na wanasiasa ili abaki kwenye nafasi. Ikishakufa anaenda zake Uganda kuna taasisi inamhitaji. Mwenye kujua mambo ya TARI aje atiririke hapa
 
Kwaheri Dr Mkamilo, tunamuomba Dr Samia atuletee Mkurugenzi Mkuu Mpya

Sheria ya utumishi wa umma Na. 8 ya mwaka 2002, ikisomwa pamoja na kanuni zake za mwaka 2003 na taratibu nyingine za uendeshaji za mwaka 2003, pamoja na miongozo na nyaraka mbalimbali zinazotelewa na Serikali zimeweka taratibu za kupandisha watumishi vyeo. Hizi taratibu ikiwemo hata kanuni za kudumu za 2009 zilidharauliwa sana na kupigwa bonge la teke na Dr Mkamilo wakati wa kipindi cha utawala wake. Bila sababu ya msingi September 2021, Dr Mkamilo alitangaza kitu kiitwacho TARI Scheme of Services ambacho kiliishusha vyeo vya muundo watumishi wa TARI wengi na kufanya watu watumikie vyeo ambavyo walivitumikia miaka 10 iliyopita. Kitendo kilichofanyika kililenga kuwafanya watumishi wachukie Serikali yao. Mimi ninayeandika haya namshukuru Allaah vyeo vyao watafiti havikunigusa. Sisi watu wa Ugavi kitu hiki kilitupita pembeni na kuwagusa watafiti tena wanasayansi ambao uwezo wa kujenga hoja na kujitetea ni mdogo. Mara kwa mara watumishi waliomtafuta Dr Mkamilo kuuliza kwa nini wameshushwa vyeo vyao, wengine waliishia kufokewa na Dr Mkamilo huku akirusha ngumi hewani. Baadhi ya watumishi ambao Dr Mkamilo aliwaheshimu aliwaelezea kwamba Serikali ya awamu ya 6 imeanza na mambo mapya. Hata alipoulizwa na baadhi ya viongozi kuhusu kutenda kosa hili aliwadanganya kwamba amewaongezea mshahara mkubwa sana na ukweli ni kwamba 67 % ya watumishi waliongezewa shilingi elfu 5 tu. Kitendo hiki na majibu ya Dr Mkamilo kwa watumishi yalishusha morale ya kazi na kuongeza minung'uniko kwa watumishi wengi. Ukifanya study ya kuangalia hali ya utendaji kwa watumishi wa TARI utapigwa na butwaa baada ya kugundua utendaji umeshuka kwa 52%. Kundi zima lililoshushwa cheo linasema litamkumbuka Dr Mkamilo kwa ukatili huo aliowafanyia. Jambo la kusikitisha hata watumishi ambao wako karibu na Dr Mkamilo ambao tunawafahamu (siri zao tumezihifadhi) nao wanamlaumu sana kwa kuwashusha vyeo watu kitendo kinachotafasiriwa kama njama za kuchonganisha watumishi na Serikali yao ya awamu ya 6. Ili kufanya maboresho na kufumua scheme of services na muundo mzima wa TARI ili kuwa wa manufaa kwa watumishi, tunamuomba Dr Samia Suluhu Hassan kuteua Mkurugenzi Mkuu mwingine ambaye atarudisha imani ya watumishi wa TARI kwa Serikali yao.
 
Dr Mkamilo kuheshimika kimataifa? Kivipi tena? Ninyi hamna tabia ya kujisomea? Huyu Dr Mkamilo hata PhD yake ni weak sana kasome kazi yake. Kwenye PhD alitafuta tu takwimu kule mtwara mara zao la mahindi mara ufuta. Tafrani tupu hata haieleweki alilenga kutatua changamoto gani hasa ya kijamii au alilenga jawabu gani hasa la kisayansi la kusaidia nchi yetu. Mtafute Dr Mkamilo kwenye Google yenye kichwa "Maize-sesame intercropping in Southeast Tanzania: Farmers' practices and perceptions, and intercrop performance ". Nanyi mnaweza kuingia kwa Google mkajisomea kazi yake ya PhD. Ukizama zaidi na kuidadavua na kuwapa baadhi ya wanazuoni wa Sayansi ya Kilimo kwa kweli watashindwa kuielewa nini boss wetu alifanya. Hata Mimi ambaye nimebobea kwenye ugavi haya aliyoyafanya naona ni madogo sana. Hii PhD yake inafaa kwa wanafunzi wa Special Research Project) ya wanafunzi wa shahada ya kwanza na sio mtu wa PhD tena kwenye sayansi. Hakuna sayansi yoyote kwenye thesis yake. Tukianzia kwenye maudhui hamna mahali alionyesha changamoto anayojaribu kuitatua bali alizungumzua mazoea ya wakulima wa nyanda za kusini kuchanganya mahindi na ufuta kitu ambacho hata siyo mazoea sana kwa maana zao la mahindi linafaa kuchanganywa (intercropped)na jamii ya mikunde lakini siyo ufuta. Haya ndo mwahitaji kuhoji ninyi kama wasomi wa PhD ndani ya TARI tena mnajiita wanasayansi. Wengine mnanisema sina PhD ni kweli sina na kwenye unit yetu ya Ugavi hakuna mwenye PhD na hayo mambo yenu ya PhD hayatuhusu na sihitaji nafasi ya DG wenu Bali nataka mtu mwenye qualifications kama ni breeder awe breeder tujue. Mtu mwenye sayansi kubwa.

Hali ilivyo kwa sasa TARI inahitaji DG aliyebobea kwenye issues za logistics, anayependa watafiti wafanye mambo ya ugunduzi ya kisayansi yanayoleta heshima ya nchi na kuachana na matangazo. TARI inataji DG mwenye kutumia elimu yake kuunganisha watu na sio kuwapa migogoro. TARI inahitaji DG mwenye kusikiliza sana na kuongea kidogo. TARI inahitaji DG mwenye kupokea maoni miongoni mwa watu anaowaongoza na sio kuwafokea. TARI inahitaji DG mwenye kufuata sheria, taratibu na kanuni za Utumishi wa umma bila kuzivunja kwa kushusha vyeo vya watumishi wake. TARI inahitaji DG mwenye kuwafanya watumishi wa TARI kuipenda Serikali yao na sio kuhisi Serikali imeagiza kushusha vyeo vyao. TARI inahitaji DG ambaye PhD yake inamfanya kuwaencourage watu kwenda masomoni na sio kuharibu masomo ya watumishi. TARI inahitaji DG ambaye ataweka misingi imara ya kutoa mafunzo kwa watumishi wake mara wanapoajiriwa na kupata mafunzo rejea kuhusu utii kwa Serikali na chama kilichoko madarakani. TARI inahitaji DG ambaye atalinda mali za Serikali na kuweka fens kwenye mashamba ya utafiti. TARI inahitaji DG ambaye ataweka Mkurugenzi wa Utafiti na Ubunifu na Mkurugenzi wa Uhaulishaji wa Teknolojia na mahusiano nafasi ambazo ziko wazi kipindi kirefu sana. TARI inahitaji DG ambaye anaenda kufuta machungu kwa watafiti wengi walioumizwa kipindi cha Dr Mkamilo. TARI inahitaji DG atakayetunza siri za Waziri na Katibu Mkuu na sio kusimulia rafiki zake na siri hizo zikasambaa miongoni mwa watumishi wote. TARI inahitaji DG ambaye ataajiri au kuteua watu kwa nafasi flani kwa kuzungatia sifa na sio mambo ya ndoa kama ilivyotokea kwa Dr Mkamilo aliyemuajiri mke wake ndani ya TARI huku akijua fika kwamba hana sifa za kufanya kazi kwenye Taasisi hii ya kitaalam sana. TARI inahitaji DG mwenye maadili na weledi mkubwaaa.

Kwa kuzingatia maoni yetu hayo ya sifa ya mtu anayefaa kuwa DG, tunamuomba Dr Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumtimua Dr Mkamilo na kuteua mtu hata kutoka huko Zanzibar kwenye Taasisi ya ZARI, au ASA au SUA au Nelson Mandela Institute of Science and Technology wapo maprofessor wazuri pale tena wengine walishafanya kazi TARI na wana machapisho yanayoheshimika kimataifa.
 
Hili la kushusha vyeo nililisikia wakati flani kwa mdogo wangu aliyepo huko TARI dah.dogo kachanganyikiwa.yuko full.frustrated, naamini wahusika wamelipata. Lakini.aliniambia kuna.namna ya kupandisha vyeo kibaguzi.hasa kina mama wana advantage kubwa ya kuoandishwa vyeo endapo wakizungumza na DG kiutu uzima.
 
I know the guy he is such a smart scientist
mengine ni ubinadamu acha roho mbaya. na wewe mchukue mkeo mpe kazi kiazi wewe.
Dr Mkamilo kuheshimika kimataifa? Kivipi tena? Ninyi hamna tabia ya kujisomea? Huyu Dr Mkamilo hata PhD yake ni weak sana kasome kazi yake. Kwenye PhD alitafuta tu takwimu kule mtwara mara zao la mahindi mara ufuta. Tafrani tupu hata haieleweki alilenga kutatua changamoto gani hasa ya kijamii au alilenga jawabu gani hasa la kisayansi la kusaidia nchi yetu. Mtafute Dr Mkamilo kwenye Google yenye kichwa "Maize-sesame intercropping in Southeast Tanzania: Farmers' practices and perceptions, and intercrop performance ". Nanyi mnaweza kuingia kwa Google mkajisomea kazi yake ya PhD. Ukizama zaidi na kuidadavua na kuwapa baadhi ya wanazuoni wa Sayansi ya Kilimo kwa kweli watashindwa kuielewa nini boss wetu alifanya. Hata Mimi ambaye nimebobea kwenye ugavi haya aliyoyafanya naona ni madogo sana. Hii PhD yake inafaa kwa wanafunzi wa Special Research Project) ya wanafunzi wa shahada ya kwanza na sio mtu wa PhD tena kwenye sayansi. Hakuna sayansi yoyote kwenye thesis yake. Tukianzia kwenye maudhui hamna mahali alionyesha changamoto anayojaribu kuitatua bali alizungumzua mazoea ya wakulima wa nyanda za kusini kuchanganya mahindi na ufuta kitu ambacho hata siyo mazoea sana kwa maana zao la mahindi linafaa kuchanganywa (intercropped)na jamii ya mikunde lakini siyo ufuta. Haya ndo mwahitaji kuhoji ninyi kama wasomi wa PhD ndani ya TARI tena mnajiita wanasayansi. Wengine mnanisema sina PhD ni kweli sina na kwenye unit yetu ya Ugavi hakuna mwenye PhD na hayo mambo yenu ya PhD hayatuhusu na sihitaji nafasi ya DG wenu Bali nataka mtu mwenye qualifications kama ni breeder awe breeder tujue. Mtu mwenye sayansi kubwa.

Hali ilivyo kwa sasa TARI inahitaji DG aliyebobea kwenye issues za logistics, anayependa watafiti wafanye mambo ya ugunduzi ya kisayansi yanayoleta heshima ya nchi na kuachana na matangazo. TARI inataji DG mwenye kutumia elimu yake kuunganisha watu na sio kuwapa migogoro. TARI inahitaji DG mwenye kusikiliza sana na kuongea kidogo. TARI inahitaji DG mwenye kupokea maoni miongoni mwa watu anaowaongoza na sio kuwafokea. TARI inahitaji DG mwenye kufuata sheria, taratibu na kanuni za Utumishi wa umma bila kuzivunja kwa kushusha vyeo vya watumishi wake. TARI inahitaji DG mwenye kuwafanya watumishi wa TARI kuipenda Serikali yao na sio kuhisi Serikali imeagiza kushusha vyeo vyao. TARI inahitaji DG ambaye PhD yake inamfanya kuwaencourage watu kwenda masomoni na sio kuharibu masomo ya watumishi. TARI inahitaji DG ambaye ataweka misingi imara ya kutoa mafunzo kwa watumishi wake mara wanapoajiriwa na kupata mafunzo rejea kuhusu utii kwa Serikali na chama kilichoko madarakani. TARI inahitaji DG ambaye atalinda mali za Serikali na kuweka fens kwenye mashamba ya utafiti. TARI inahitaji DG ambaye ataweka Mkurugenzi wa Utafiti na Ubunifu na Mkurugenzi wa Uhaulishaji wa Teknolojia na mahusiano nafasi ambazo ziko wazi kipindi kirefu sana. TARI inahitaji DG ambaye anaenda kufuta machungu kwa watafiti wengi walioumizwa kipindi cha Dr Mkamilo. TARI inahitaji DG atakayetunza siri za Waziri na Katibu Mkuu na sio kusimulia rafiki zake na siri hizo zikasambaa miongoni mwa watumishi wote. TARI inahitaji DG ambaye ataajiri au kuteua watu kwa nafasi flani kwa kuzungatia sifa na sio mambo ya ndoa kama ilivyotokea kwa Dr Mkamilo aliyemuajiri mke wake ndani ya TARI huku akijua fika kwamba hana sifa za kufanya kazi kwenye Taasisi hii ya kitaalam sana. TARI inahitaji DG mwenye maadili na weledi mkubwaaa.

Kwa kuzingatia maoni yetu hayo ya sifa ya mtu anayefaa kuwa DG, tunamuomba Dr Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumtimua Dr Mkamilo na kuteua mtu hata kutoka huko Zanzibar kwenye Taasisi ya ZARI, au ASA au SUA au Nelson Mandela Institute of Science and Technology wapo maprofessor wazuri pale tena wengine walishafanya kazi TARI na wana machapisho yanayoheshimika kimataifa.
 
Mleta mada ni mtumishi wa TARi lakini tatizo hana PhD

Wenzake huko wana PhD na ni wanawake

Mleta mada atakuwa ni Male
Kwaheri Dr Mkamilo, tunamuomba Dr Samia atuletee Mkurugenzi Mkuu Mpya

Sheria ya utumishi wa umma Na. 8 ya mwaka 2002, ikisomwa pamoja na kanuni zake za mwaka 2003 na taratibu nyingine za uendeshaji za mwaka 2003, pamoja na miongozo na nyaraka mbalimbali zinazotelewa na Serikali zimeweka taratibu za kupandisha watumishi vyeo. Hizi taratibu ikiwemo hata kanuni za kudumu za 2009 zilidharauliwa sana na kupigwa bonge la teke na Dr Mkamilo wakati wa kipindi cha utawala wake. Bila sababu ya msingi September 2021, Dr Mkamilo alitangaza kitu kiitwacho TARI Scheme of Services ambacho kiliishusha vyeo vya muundo watumishi wa TARI wengi na kufanya watu watumikie vyeo ambavyo walivitumikia miaka 10 iliyopita. Kitendo kilichofanyika kililenga kuwafanya watumishi wachukie Serikali yao. Mimi ninayeandika haya namshukuru Allaah vyeo vyao watafiti havikunigusa. Sisi watu wa Ugavi kitu hiki kilitupita pembeni na kuwagusa watafiti tena wanasayansi ambao uwezo wa kujenga hoja na kujitetea ni mdogo. Mara kwa mara watumishi waliomtafuta Dr Mkamilo kuuliza kwa nini wameshushwa vyeo vyao, wengine waliishia kufokewa na Dr Mkamilo huku akirusha ngumi hewani. Baadhi ya watumishi ambao Dr Mkamilo aliwaheshimu aliwaelezea kwamba Serikali ya awamu ya 6 imeanza na mambo mapya. Hata alipoulizwa na baadhi ya viongozi kuhusu kutenda kosa hili aliwadanganya kwamba amewaongezea mshahara mkubwa sana na ukweli ni kwamba 67 % ya watumishi waliongezewa shilingi elfu 5 tu. Kitendo hiki na majibu ya Dr Mkamilo kwa watumishi yalishusha morale ya kazi na kuongeza minung'uniko kwa watumishi wengi. Ukifanya study ya kuangalia hali ya utendaji kwa watumishi wa TARI utapigwa na butwaa baada ya kugundua utendaji umeshuka kwa 52%. Kundi zima lililoshushwa cheo linasema litamkumbuka Dr Mkamilo kwa ukatili huo aliowafanyia. Jambo la kusikitisha hata watumishi ambao wako karibu na Dr Mkamilo ambao tunawafahamu (siri zao tumezihifadhi) nao wanamlaumu sana kwa kuwashusha vyeo watu kitendo kinachotafasiriwa kama njama za kuchonganisha watumishi na Serikali yao ya awamu ya 6. Ili kufanya maboresho na kufumua scheme of services na muundo mzima wa TARI ili kuwa wa manufaa kwa watumishi, tunamuomba Dr Samia Suluhu Hassan kuteua Mkurugenzi Mkuu mwingine ambaye atarudisha imani ya watumishi wa TARI kwa Serikali yao.
 
Huyu Mzee astafishwe tu. Ni watu wachache ambao wameaniwa na mamlaka za juu kwa nafasi yake wanafanya uhuni. Humphrey polepole huwa anazungumzia wahuni wa aina hii.
 
Nasikia anajua kutoa bahasha za kutosha kwa baadhi ya wasaidizi wa rais. Lakini pia alinunua baadhi ya vyombo vya habari kwa pesa ndefu ili wawe wanamtangaza na shughuli za TARI. Kina Sifuni Mshana na Jimi Mengele wamelamba sana asali kwa huyu jamaa. Ila hii nchi tamu sana aisee. Yaani ukiipatia we ni kulamba tu.
 
Nimesoma comments za wanaomtetea Dr Mkamilo na kugundua ni wale wale ambao ni wanufaikaji wa mfumo mbovu ambao Dr Mkamilo kauasisi ndani ya TARI. Baadhi ya watoa comments hasa watetezi ni ndugu zake ambao kawaingiza kwenye TARI kwa upendeleo na wengine ni wale wanaowaza Dr Mkamilo akiondoka tutaishije sisi? TARI sio Mali yenu ni Mali ya Serikali na ni wajibu kuendeshwa kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu. Dr Mkamilo sio mtu mchoyo linapokuja suala la kujali familia yake maana amewajaza sana ninyi ndugu zake na hapa inajionesha mnavyotetea ugali wa familia zenu. Ni moyo huo huo wa Dr Mkamilo aliotumia kumsaidia mke wake kuisaka elimu na kuajiriwa ndani ya TARI bila kuwa na sifa hasa za kisayansi. Dr Mkamilo alianza kwa kumuandaa mke wake kisaikolojia ili kuwa msomi wa mchongo na paper ya mtihani akaikalia mwaka 2011 na kunyakuwa division four point 33 akiwa na D zake 2 za history na kiswahili mama huyu jamani. Kitu alichokifanya Dr Mkamilo, ni kubadilisha jina la mke wake kutoka Priscar Stanley Semwenda na kumuita Priscar Geoffrey Mkamilo. Dr Mkamilo ni genius ambaye anatumia akili zake nyingi kufanya mambo yanayofavour familia yake au marafiki zake tu. Kwa kuwa huyu baba alikuwa na connection kwa watu wengi mpaka vyuoni, akili yake ya haraka ikamtuma kubadilisha jina la mke wake ili litambulike haraka kwa watoa huduma mbalimbali wa kwanza wakiwa wakuu wa vyuo vya Kilimo vinavyotoa elimu ya kati hasa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Cha MATI Tumbi wakati huo. Dr Mkamilo alimsajili mke wake kwa namba P1379-0138 kama mwanafunzi wa kujitegemea chuo cha Mtwara Teachers College Centre na kumpa jina la Mkamilo huku majina ya Stanley Semwenda ya yakitupiliwa mbali kule bila huruma. Nyarakaaa nyingine tulizonazo kutoka kwenye faili la nyumbani kabisa tena chumbani kwa Dr Mkamilo, zinaonesha umiliki wa mali wa Dr Mkamilo na mke wake umetumia Jina la Priscar Stanley Semwenda. Kwa mfano,hati yao ya Kiwanja Na. 15 kwenye Block Q kilichopo eneo la Amani Gomvu iliyotolewa tarehe 16.01.2017 inaonesha kiwanja kinamilikiwa na Geoffrey Ignatus Mkamilo na Priscar Stanley Semwenda na baadhi ya mali nyingine zinaonesha hivyo vilevile. Jina la Priscar Geoffrey Mkamilo lilitumika tu kurahisisha mambo hasa kupata nafasi za chuo, likambeba kupewa maksi za bure chuoni na likambeba mpaka kuingia kwenye Utumishi wa umma na kuingia TARI kama mtumishi mtaalam kwenye vitu vizito vya kisayansi huku sayansi yenyewe hana uzoefu nayo. Muda mwingine mnaposema Dr Mkamilo ni mtu smart nakubaliana nanyi kwa sasa huyu Mwamba Dr Mkamilo anatumia usmart wake kuharibu TARI yetu huku akimwaga ajira kwa familia yake tu ndani ya Taasisi. Hata Serikali ikiamua kufanya operation maalum ndani ya siku moja tu itashangaa wakina Mkamilo (majina ya Mkamilo) ndo watumishi wengi wengi ndani ya TARI kuliko familia yoyote ile hapa nchini. Hata Serikali ikipitia nyaraka nyingi za malipo zitaonesha familia ya Dr Mkamilo ina watu wengi kwenye TARI na imenufaika sana kupitia mwamba. Hata Serikali ikiitiaha majina ya watumishi wote wa TARI bado familia ya Dr Mkamilo itakuwa na watumishi wengi kuliko familia yoyote ile nchini Tanzania ambao wanafanya ndani ya Taasisi hii. Hatukatai familia Dr Mkamilo kuwa watumishi wengi ndani ya TARI, tunachokataa ni kuleta watu ambao hawana sifa kwa kutumia hizo mnaita akili zake badala ya akili kuzitumia kuendeleza Taifa letu.

Tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan kumfukuza Dr Mkamilo kwenye nafasi ya DG wa TARI na kumteua DG mpya mwenye sifa na maadili ya kuongoza Taasisi hii ya umma kwa misingi mizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…