Kwaheri Kocha Nabi umeacha alama ya mafanikio tunakutakia kila lenye heri uko uendako

Kwaheri Kocha Nabi umeacha alama ya mafanikio tunakutakia kila lenye heri uko uendako

Ni kawaida kwa kocha yeyote kulinda heshima yake baada ya mafanikio makubwa kwenye carrier ya kazi yake.

Kocha Nabi amelifanya hilo jambo kwa uweledi mkubwa sana akiwa na klabu ya yanga, kapata mafanikio kuliko kocha yeyote yule kwenye mpira wa Tanzania, kavaa medali ya caf confederetion cup, kavaa medali ya ligi kuu, kavaa medali ya FA cup, kavaa medali ya ngao ya hisani, ni mafanikio ya kiwango cha juu kabisa.

Kwa mantiki iyo ilikuwa ni ngumu sana kumbakisha kutokana na vilabu vingine vikubwa vyenye misuli ya kiuchumi kumwekea ofa nono ambayo ni ngumu kuikataa.

Kwa mantiki iyo tunamtakia kila la heri kutafuta changamoto mpya!

Pia napenda kuwajuza mashabiki na wanachama wa yanga kuwa watulivu kwa kuwa aliyemleta Nabi wasisahau bado yupo, Nabi uyu wakati analetwa alipondwa sana but waliomponda leo ndio wanafurahi kuondoka kwake kwamba amewapa ahueni! Kwangu mimi ahueni aiwezi kuwepo hata akija kocha mwingine.

Yanga hii mpaka inafika hapo ilipofika imejengwa na vitu vingi sana kuanzia menejimenti, mashabiki,wanachama, squad ya timu husika, umoja na mshikamano vimechangia pakubwa kuifanya kazi ya Nabi iwe rahisi sana!

Kwa maana hiyo kocha anaekuja ataanzia pale alipoishia Nabi na kuendelea kuuwasha moto kutokana na ubora wa kikosi kilichopo na maingizo machache yenye ubora yatayoingizwa msimu ujao!

Nabi kaacha msingi na jengo tiyali kinachofata ni kuezeka tu kwa kocha anayekuja aitokuwa kazi ngumu zaidi ya mbinu tu za kiufundi kwa kuwa kikosi kimekamilika kila idara,
Na uongozi ulishatambua kuondoka kwa Nabi mapema kabisa na walishaanza mchakato wa kumpata kocha mpya ata kabla ya kuitimishwa kwa mechi za ligi ivyo muda si mrefu kocha mpya atatangazwa rasmi!

Aluta continua mapambano yanaendelea!
Kanusa ubabaishaji,kaona ataaibika! Ya Fei ni somo tosha Kwa mwenye akili. Utalipaje mhimili wa timu kuduchu huku wazururaji uwanjani mihela kibao?
 
Special ni kuvaa medali ya afrika kombe la shirikisho kwa kufika fainali tuambie miaka mingapi imepita mpaka Nabi anakuja kufika hapo alipofika
Ilikuwa timu ya riadha hiyo? Medali ni Kwa wanariadha. Mpira wa miguu ni Kombe!
 
Yanga mnavyomlilia utadhani kafaa. Maumivu zaidi yaja.
 
Hivi Mashabiki wa Yanga Hata UANDISHI WA kamakala kadogo haka ni mtihani.

Mbona nyuzi zenu zina Kila aina ya changamoto?????????

Jitahidi kuweka Aya kwenye maandiko yako.

Hapa JF ukifuatilia Nyuzi nyingi za hovyo ni za yanga.

Ndio Maana yanga ilikuwa timu ya Wananchi wenye uelewa mdogo.

Mbona umezidisha aya kwenye andiko lako? Hivi utopolo mna akili kweli? Sentensi haijaisha aya ya nini sasa?
 
Nimependa alivyoondoka ningepata wakati mgumu sana kuona Nabi anafukuzwa ama kuvunjiwa heshima kwa namna yoyote vile endapo team ingefanya vibaya
Sasa tunakaribisha akili mpya ije na mipango mizuri malengo ni yaleyale 2023/2024 trebble na nusu final Cafcl
Kuwafunga makolo ni bonus
 
Si aliongezewa mkataba mwaka jana?
Screenshot_20230615-174905_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom