Kwaheri Magufuli: Haya ndiyo Mazingira ya Mikataba Baina ya Afrika na Wakoloni/ Weupe

Jpm alikuwa chuma kweli mambo hayo alifutilia mbali ,tutakuja kumkumbuka tu

Ova
 
MUNGU hatambui mipaka tuliowekewa na wakoloni, MUNGU ameumba dunia na vilivyomo ili vitumike na wanaadamu kumsaidia katika harakati zake hapa ulimwenguni.
Suala la uzembe wenu nyinyi mliozungukwa na hazina zilizopo chini ya ardhi na hamjui thamani wala faida yake katika kuwaletea maendeleo, wakitokea watu wengine wenye kujua na wakazitumia katika kujiletea maendeleo huo ni uzembe wenu, wala si dhambi machoni pa MUNGU.
MUNGU hakutuwekea mipaka katika ulimwengu aliouumba yeye.
 
Aliongoza kwa mkono wa chuma sana bila yeye akwilina asingekufa
 
Ishu ni Idd Amin dictator kafa! Muuji kafa, Mobutu, Bokasa
Mkuu, Vipi wewe, haufi? Unauliza mipaka?
Kssome vizuri vitabu vyake huyo unayemtaja kama hakuweka mipaka, na ndiyo Maana Israel anawapa nchi na mipaka ya nchi Ile aliwatajia kuwa itaanzia wapi na kuishia wapi
 
Kusema ukweli kutoka ndani ya moyo wangu mimi ni zaidi ya Jiwe. Nikiupata urais hii nchi itanishukuru.
Mheshimiwa Rais mtarajiwa nilisha tuma nakala zangu kwako! Kanda ya pwani kusini na Mashariki mimi ndie nitakuwa meneja wa kampeni
 
Mheshimiwa Rais mtarajiwa nilisha tuma nakala zangu kwako! Kanda ya pwani kusini na Mashariki mimi ndie nitakuwa meneja wa kampeni
Nakala nishazipa mkuu na tayari nishazipitisha. Nitakujulisha rasmi kwa maandishi.
 
Fact

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wachina au wajapani hawajawahi kuwa wakoloni au watu weupe. Kwa hiyo, kichwa cha habari na picha inachoonyesha ni vitu viwili tofauti.
 
Wachina au wajapani hawajawahi kuwa wakoloni au watu weupe. Kwa hiyo, kichwa cha habari na picha inachoonyesha ni vitu viwili tofauti.
Mpaka kuweka comment yako hapa umeelewa topic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…