Kwa ccm hii, labda kwa asiyeijua, ila kwa wanaoijua vzuri, ni dhahiri hakuna mikakati itakayofanikiwa dhidi yao labda baada ya miaka at least 45 hivi. Tuseme ukweli tu, ccm imejipanga kudominate politics zetu strategically. Juu ya yote, wana pesa na wana serikali yao ya kichama ambayo raisi ndio mwenye kiti, maelfu ya viongozi wake wanalipwa vzuri na kupendelewa hadi raha. Ccm ina vitega uchumi vinavyo iingizia at least mabilioni kila mwezi. Kwenye kila uchanguzi wanaandaa bajeti ya mabilioni ili watu wake wapite. Kuzingatia upinzani wetu business brands, unategemea kuwa ipo siku karibuni ccm kitapoteza?? Mimi sio mpuuzi kujipa matumaini hewa