Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
🤣 🤣 🤣Wacha weeee !!! kwamba serikali mpya ya Chadema itampa uwaziri Makonda ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣Wacha weeee !!! kwamba serikali mpya ya Chadema itampa uwaziri Makonda ?
🤣 🤣 🤣Nothing lasts longer , kama alikufa Yesu ndio iwe ccm ?
🤔Makonda wanamuandaa akagombee arusha mjini apambane na lema
Lema atamuita muheshimiwa, maisha yanakimbia spidi ya mwanga.Makonda RC mpya Arusha
Sijaisikia hiyo taarifa, nisogezeepo mkuu!Ulipata Uwaziri baada ya kupendekezwa na Wana JF , lakini bila shqka kiwango chako hakikuridhisha , japo ulipewa na Ubunge wa bure ule wa Jiwe 2020 lakini sasa mbeleko imetoboka .
Tunakutakia Kila la heri huko uendako
Kumeshakucha amka. Umeota raisi nani huko Chadema?Wacha weeee !!! kwamba serikali mpya ya Chadema itampa uwaziri Makonda ?
Vipi mzee wa "kuru duara dawaa" bado umejificha visiwa vya carribean😂? Pole na mizozo ya FBI hukoAtenguliwa dahmngeandika KAZI nyinginee tu jaman
Siasa uchwara za maji taka hazihitaji akili kubwa hata kidogo,, wakina LUCAS wanazimudu kabisaHuyu si ni Profesa kabisa kasoma Canada kule wanakotengeneza bombardier, na mkali wa manamba wanasema ni kichwa balaa.
Huyo ni profesa bado anaweza kurudi kufundisha maisha yakaenda.Ulipata Uwaziri baada ya kupendekezwa na Wana JF , lakini bila shqka kiwango chako hakikuridhisha , japo ulipewa na Ubunge wa bure ule wa Jiwe 2020 lakini sasa mbeleko imetoboka .
Tunakutakia Kila la heri huko uendako
Labda Waziri wa familia yake.Makonda hadi 2025 atakua waziri
One of the Waste minister ever.Ulipata Uwaziri baada ya kupendekezwa na Wana JF , lakini bila shqka kiwango chako hakikuridhisha , japo ulipewa na Ubunge wa bure ule wa Jiwe 2020 lakini sasa mbeleko imetoboka .
Tunakutakia Kila la heri huko uendako
Ni bora nikaishi burundi ila sio kushuhudia wahuni wa chadema wakipewa nchi,haitatokea hiyo,Wacha weeee !!! kwamba serikali mpya ya Chadema itampa uwaziri Makonda ?
We jamaa Teko Modise sintoisahau ile diagonal pasi , unaitupa kwa Siphiwe Tshabalala anafunga bonge moja la goli SA 2010hakiba❌
akiba✅
Wazee Wa Iftar Swali Kabla HujaswaliwaHuyu wazee wa misikitini wamemsagia kunguni.
😃Prof. Ndalichako apumzike kama alivyopumzika aliyewahi kuwa mbunge wa Jimbo la Kasulu huko nyuma, Prof. Mbwiliza.