Pre GE2025 Kwaheri Ndalichako, karibu Jimboni

Pre GE2025 Kwaheri Ndalichako, karibu Jimboni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
😂😂😂🔥


1711869204852.png






1711869172122.png
 
Kosa lake ni kutokuwa chawa. Alipiga kimya ! All in all. Yuko vizuri amejenga , ana eneo kubwa sana fenced njia ya kwenda Goba..... vinamtosha. Apumzike ushetani wa CCM. Amtafute mungu sasa.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu hawezi kuwa kapuku , tumeandika kwa vile kang'olewa na alishiriki Wizi wa kura 2020
 
Labd kizazi chetu cha keyboard Warriors kifutike kije kipya chenye uthubutu, kisicho na chawa wengi, werevu wawe wengi kuliko wajinga. Watu wenye uchungu na taifa lao.

Ila najiuliza watakuta nini, wanaweza kuta kila kitu kishauzwa.
Mkuu hili ni wengi huwa tunajiuliza. Kusema ukweli nchi yetu sisi raia hatuelezeki. Mimi nadhani ni tatizo la elimu. Trust me. Elimu yetu ni chini ya kiwango. Hai-eject watu wawe na minds za kutafakari na kuhoji. Watu wamefundishwa kukariri na kuzungumza maneno mengi. Kutoka hapa? Ni muujiza wa Mungu. Sioni kizazi chenye uthubutu na akili za kuweza kuchambua mambo na ku-act accordingly. Labda ije itokee tukio moja kama la bodaboda kuuawa kizembe na polisi, nchi yote ''ilipuke'' bila warning. Ubaya ni kuwa tukifikia hatua hii nchi kuja kurudi kwenye hali ya kawaida itachukuwa miaka na miaka.
 
Ulipata Uwaziri baada ya kupendekezwa na Wana JF, lakini bila shaka kiwango chako hakikuridhisha. Ulipewa na Ubunge wa bure ule wa Jiwe 2020 lakini sasa mbeleko imetoboka .

Tunakutakia Kila la heri huko uendako
Huyu mama kipindi cha mwenda zake alitokea kuwa chukia watu wa kaskazini hadi kuwa nyima nafasi pale wizara ya elimu.
Alidhani atakuwa Waziri milele.
Sasa ubunge wali iba kura tukutane 2025.
Labda aka gombea Burundi
 
Back
Top Bottom