Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stegormena au yupi?Halafu mama wa Kisimkazi inaonekana kuna baadhi ya wanawake anawatoa kwa sababu tu haiviani nao. Kwa mfano yule wa mambo ya nje hakuwa mbaya kiutendaji.
taja jinamambo ya nje
Silikumbiki ila alikuwa waziri wa mambo ya nje kabla ya huyu msanii Makamba. Something like Mulamula maybe.taja jina
Yule Mulamula (sina uhakika na spelling za jina)Stegormena au yupi?
Mkiambiwa msome hamtakiMakonda hadi 2025 atakua waziri
Mhadhiri wa Chuo Kikuu hawezi kuwa kapuku , tumeandika kwa vile kang'olewa na alishiriki Wizi wa kura 2020Kosa lake ni kutokuwa chawa. Alipiga kimya ! All in all. Yuko vizuri amejenga , ana eneo kubwa sana fenced njia ya kwenda Goba..... vinamtosha. Apumzike ushetani wa CCM. Amtafute mungu sasa.
HujakoseaYule Mulamula (sina uhakika na spelling za jina)
Labd kizazi chetu cha keyboard Warriors kifutike kije kipya chenye uthubutu, kisicho na chawa wengi, werevu wawe wengi kuliko wajinga. Watu wenye uchungu na taifa lao.Nothing lasts longer , kama alikufa Yesu ndio iwe ccm ?
Mkuu hili ni wengi huwa tunajiuliza. Kusema ukweli nchi yetu sisi raia hatuelezeki. Mimi nadhani ni tatizo la elimu. Trust me. Elimu yetu ni chini ya kiwango. Hai-eject watu wawe na minds za kutafakari na kuhoji. Watu wamefundishwa kukariri na kuzungumza maneno mengi. Kutoka hapa? Ni muujiza wa Mungu. Sioni kizazi chenye uthubutu na akili za kuweza kuchambua mambo na ku-act accordingly. Labda ije itokee tukio moja kama la bodaboda kuuawa kizembe na polisi, nchi yote ''ilipuke'' bila warning. Ubaya ni kuwa tukifikia hatua hii nchi kuja kurudi kwenye hali ya kawaida itachukuwa miaka na miaka.Labd kizazi chetu cha keyboard Warriors kifutike kije kipya chenye uthubutu, kisicho na chawa wengi, werevu wawe wengi kuliko wajinga. Watu wenye uchungu na taifa lao.
Ila najiuliza watakuta nini, wanaweza kuta kila kitu kishauzwa.
Hii ni shida ya Waha wote.Waulize ndugu zake watakueleza ni malalamiko ya kutowashika mkono hata pale walioomba kufanya hivyo..... Wazee wa Msikiti wanahusianaje hapo.....!!!???
Jambazi kapelekwa kwenye Himaya ya Nabii Lema.Makonda RC mpya Arusha
Nimemkumbuka ile alivyokuwa akiongea bungeni.Yule Mulamula (sina uhakika na spelling za jina)
Huyu mama kipindi cha mwenda zake alitokea kuwa chukia watu wa kaskazini hadi kuwa nyima nafasi pale wizara ya elimu.Ulipata Uwaziri baada ya kupendekezwa na Wana JF, lakini bila shaka kiwango chako hakikuridhisha. Ulipewa na Ubunge wa bure ule wa Jiwe 2020 lakini sasa mbeleko imetoboka .
Tunakutakia Kila la heri huko uendako
Chadema tutawapa ubunge wa kuwahurumia pale Ubungo.😄😄Chadema will never take the lead
Nikuhakikishie hautahamia Burundi,Chadema ni kagenge tu ka wala ruzuku hivyo hawana loloteNi bora nikaishi burundi ila sio kushuhudia wahuni wa chadema wakipewa nchi,haitatokea hiyo,
Arudi UDSM kufundisha Hesabu na lafudhi yake ya Kiha/kiburundi.Ulipata Uwaziri baada ya kupendekezwa na Wana JF, lakini bila shaka kiwango chako hakikuridhisha. Ulipewa na Ubunge wa bure ule wa Jiwe 2020 lakini sasa mbeleko imetoboka .
Tunakutakia Kila la heri huko uendako
😀😀😀😀Mpwa Pdidy upo?🤣🤣pole na kesi zinazokukabili huko US