Pre GE2025 Kwaheri Ndalichako, karibu Jimboni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Duuh huu uzi hadi Pdidy ka-comment,sijui alipotelea wapi,mwandiko sasa
 
Mkuu una akili sana alafu unajua jinsi ya kugundua kipawa cha mtu. Waziri Ndalichako aliheshimisha sana wizara ya elimu na akafanya mabadiliko kiasi cha shule za serikali kurudi kwenye ubora wake.
Yaan Ndalichako toka akiwa NECTA alikua bora sana, alivyokuja kwenye wizara ya Elimu, ndo ubora wa Elimu na shule za serikali zikaanza kuwa bora na taaluma ikawa yenye weledi, tena alipotoa GPA na kurudisha DIVISION,

Alitisha sana huyu mama, nampenda mnoo.
 
Kwa Sasa hivi wizara ya Elimu haiwezi!inshu Mtaala mpya ndio mtiti ni fupa haswa.Yule Mchaga wa Rombo na Makatibu wakuu wamefiti pale,Kwa Sasa hapatakiwi hata kutikiswa.
 
Yaani wafuasi wa CHADEMA mnakuwaga bitter muda wote, sijui hata ni kwanini
Kwanza Ndalichako never wanted to be an MP, ni mzee alitaka mtenda kazi kama yeye ndo maana akamvuta. Her ability kwenye kufanya kazi akiwekwa wizara anazozimudu ni mkubwa sana, thats unquestionable.
Second, Joyce sio wa kwanza kutenguliwa, she wasn't to be a minister maisha yake yote. Obviously lazima waje wengine wapewe nafasi ya kuonyesha uwezo wao. So its okay uteuzi wake kutenguliwa maana ukiona mtu kapamba ujue kuna mtu pia kashuka.
Sina mashaka na the fact kwamba Joyce hatogombea tena, politics wasnt her thing. Labda upinzani mjipange kushindana na wana CCM wengine wa jimbo la Joyce.
 
Nchi ikivurugika kurudu kwenye mstari ni ngumu, mataifa mengine watatolea macho vitu muhimu vilivyomo nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…