Muhumba wa Mukinyaa
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 683
- 1,251
Ila si bado ni Mbunge, tena wa Jimbo,nadhani arudi tu jimboni akawahudumie wananchi,kwa nafasi zaidiArudi UDSM kufundisha Hesabu na lafudhi yake ya Kiha/kiburundi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila si bado ni Mbunge, tena wa Jimbo,nadhani arudi tu jimboni akawahudumie wananchi,kwa nafasi zaidiArudi UDSM kufundisha Hesabu na lafudhi yake ya Kiha/kiburundi.
Kachoka hata hivyo japo alikua mchapa kazi haswa mwenye mbwembwe zake.Kang'olewa
Sasa mngoni mwenzangu ni kimeo tyuuh.Hu
Hutaki wangoni wenzako waendelee kula maisha
Yaan Ndalichako toka akiwa NECTA alikua bora sana, alivyokuja kwenye wizara ya Elimu, ndo ubora wa Elimu na shule za serikali zikaanza kuwa bora na taaluma ikawa yenye weledi, tena alipotoa GPA na kurudisha DIVISION,Mkuu una akili sana alafu unajua jinsi ya kugundua kipawa cha mtu. Waziri Ndalichako aliheshimisha sana wizara ya elimu na akafanya mabadiliko kiasi cha shule za serikali kurudi kwenye ubora wake.
Hapana bwana ,tunatakiwa kubebana na madhaifu yetu.Sasa mngoni mwenzangu ni kimeo tyuuh.
Kwa Sasa hivi wizara ya Elimu haiwezi!inshu Mtaala mpya ndio mtiti ni fupa haswa.Yule Mchaga wa Rombo na Makatibu wakuu wamefiti pale,Kwa Sasa hapatakiwi hata kutikiswa.Yaan Ndalichako toka akiwa NECTA alikua bora sana, alivyokuja kwenye wizara ya Elimu, ndo ubora wa Elimu na shule za serikali zikaanza kuwa bora na taaluma ikawa yenye weledi, tena alipotoa GPA na kurudisha DIVISION,
Alitisha sana huyu mama, nampenda mnoo.
Nchi ikivurugika kurudu kwenye mstari ni ngumu, mataifa mengine watatolea macho vitu muhimu vilivyomo nchini.Mkuu hili ni wengi huwa tunajiuliza. Kusema ukweli nchi yetu sisi raia hatuelezeki. Mimi nadhani ni tatizo la elimu. Trust me. Elimu yetu ni chini ya kiwango. Hai-eject watu wawe na minds za kutafakari na kuhoji. Watu wamefundishwa kukariri na kuzungumza maneno mengi. Kutoka hapa? Ni muujiza wa Mungu. Sioni kizazi chenye uthubutu na akili za kuweza kuchambua mambo na ku-act accordingly. Labda ije itokee tukio moja kama la bodaboda kuuawa kizembe na polisi, nchi yote ''ilipuke'' bila warning. Ubaya ni kuwa tukifikia hatua hii nchi kuja kurudi kwenye hali ya kawaida itachukuwa miaka na miaka.
Nusura aukwae UmakamuUlipata Uwaziri baada ya kupendekezwa na Wana JF, lakini bila shaka kiwango chako hakikuridhisha. Ulipewa na Ubunge wa bure ule wa Jiwe 2020 lakini sasa mbeleko imetoboka .
Tunakutakia Kila la heri huko uendako