Hatimaye timu yetu kipenzi ya mpira wa miguu ya vijana (Tanzania) a.k.a Ngorongoro Heroes imetolewa katika mashindano baada ya kutoka sare ya goli 1-1 na vijana wa Ivori Coast.
Kutokana na matokeo hayo Ngorongoro wamefungishwa virago baada ya kufungwa goli 1-0, huku Abijan wiki mbili zilizopita.
Tunawapongeza vijana wetu kwa hatua waliofikia na wajipange kwa ajili ya wakati mwingine.
'GO TANZANIA GO'