Kwaheri Ngorongoro Heroes

Kwaheri Ngorongoro Heroes

Swahilian

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2009
Posts
591
Reaction score
69
Hatimaye timu yetu kipenzi ya mpira wa miguu ya vijana (Tanzania) a.k.a Ngorongoro Heroes imetolewa katika mashindano baada ya kutoka sare ya goli 1-1 na vijana wa Ivori Coast.
Kutokana na matokeo hayo Ngorongoro wamefungishwa virago baada ya kufungwa goli 1-0, huku Abijan wiki mbili zilizopita.
Tunawapongeza vijana wetu kwa hatua waliofikia na wajipange kwa ajili ya wakati mwingine.

'GO TANZANIA GO'
 
Hivi Tanzania kuna matatizo gani kwenye soka?
 
Sio soka pekee ni kila kitu tumelogwa sie na mchawi etu alishakufa longu na kaburi laki halijulikani lilipo
 
Back
Top Bottom