Kwaheri TTCL, kila lenye mwanzo halikosi mwisho

Yaani kuanzia juzi nakjaribu kununua bando la internet wanasema kunatatizo la kiufundi. Basi tena hivi nivyochati natumia bila kujiunga basi tena 5000 iishe tu nijue moja
Pole sana mkuu
Mimi mwenyewe nimepata masekeseke kama hayo siku 2 3 hapo nyuma ndo namilizia bando langu la mwisho hapa.
 
Ndio shida ilipo kwenye administration costs, hasa salaries and wages.

Wote wanafanana serikalini, sema wengine ni cashcows tu kama bandari, TPDC na wengineo wanaovuna automatic tu bila ya mshindani ndio maana wanafaida.

Bank ambazo serikali ni mmbia zinafaida leo kwa sababu zinaendeshwa kibiashara na wakurugenzi wako responsible to shareholders. Lakini kabla ya hapo na zenyewe ilikuwa wanatengeneza hasara kila siku kutokana na matatizo haya haya waliyonayo mashirika ya umma ya kibiashara yanayomilikiwa na serikali 100%.

Kuna paper moja ya Kimei akiongelea matatizo ya banking zama hizo sababu za banks nyingi kufeli ilikuwa; serikali kuu na taasisi zake kuzikopa na kushindwa kuzilipa kwa wakati na kuzifanya kuwa na ukwesi, managers wasiokuwa na sifa za banking na mikopo holela ya kibiashara kwa sababu watu wanajuana tu bank managers.

Hiyo paper ya Kimei iliandikwa in the 90’s wakati Mwinyi raisi na Kimei sio mkurugenzi wa CRDB.

Since then nothing has changed kwenye taasisi za serikali hao ATCL CCM na serikali ikijisikia tu inachukua ndege kwa matumizi yao, bandarini tunaambiwa ukwepaji kodi umerudi, TANESCO toka waanze kununua gas TPDC awajahi lipa ilikuwa inadaiwa trillions, bank za serikali kwa asilimia 100 kuna watu wanapata mikopo kiholela mmoja kakimbia nchi, Serikali ndio wadaiwa wakubwa wa pension funds na awalipi on time.

Yaani matatizo ni yale yale aliyoyaongelea Kimei in the 90’s ndio yaliyopo leo 30 years later, wamebadilika watu wanaoendesha serikali; ila tabia za serikali ni zilezile.

Akitokea mtu wa kubadilisha culture ya ufanyaji mambo serikalini, salaleh atatukwana huyo mitandaoni na kuitwa katili wakati kazi yenyewe ndio kwanza ipo kwenye ku scratch surface tu. Tanzania dhana ya uwajibikaji serikalini bado kueleweka.

Ndio hayo mashirika yanaendeshwa ovyo, ila serikali nayo inachangia kuanguka kwake kwa namna inavyoyasimamia na kuhujumu pia hizo taasisi; wewe uwezi kuita ndege ya shirika at whim na si ajabu usilipe hizo flight costs halafu ushangae wakipata hasara.
 
Alivoenda tu huko huyo Peter Ulanga nikajua itakuwa hivyo tu!
 

Inasikitisha sana,
Hakuna namna sasa, CEO's wa haya mashirika plus operation managers lazima tutangaze nafasi na tuajiri expart wakiwa na targets na tuache kila siasa.

Imedhihirisha kabisa watu wetu ni bogus tu kwenye modern internation business, bado watu wetu wanawaza kizamani, flexibility nayo zero.
 

watu wetu vichwa vigumu sana, wanakosa kabisa modern styles za kurun business na kugenerate profit.
 
Nashauri shirika livunjwe na vijana waandike proposal bila kuwahusisha wenye mitandao ambao inawezekana wazee waliopo posta wanashirikiana na wenye mitandao kudumaza posta.posta is there to stay.kunaitajika vijana energetic kuliendesha kwa mikataba kama wanayopewa na mamitandao mingine.if you don't delivery thud is the end of you contract. Kuna wanaokodoa macho shirika life wao kwa kupitia kampuni zilizoandikishwa nje wakanunua.wenyine ni haohao waliokwapua mabilioni ya $
na £.hivyo hivyo wanaitaka bandari yetu kwa kutodelivery .baadaye.
 
Afrika nakutamani ikiwemo Tanzania tunakwama wapi?
Almost mashirika yote ya Umma in almost African countries kama hayapo ICU basi ni RIP.
Is our brain not aligned for success?
Au tunahitaji kufanyiwa genetic modified brain?
No body loves African unless its sport scene or drama.
TTCL ina kila sababu ya kustawi.
Mkonga wa taifa ndio tanzanite ya TTCL.
Nadhani wamejipanga vizuri kusambaza data kwa mfumo wa wifi majumbani.
Just imagine,nyumba milioni 5 Tanzania zifungwe wifi kwa tozo la huduma ya sh 50,000 kwa mwezi=5,000,000 ×50,000=
250,000,000,000 yaani B 250 kwa mwezi.!!
Tuanzie hapo.
Akitaka msaada tupo wengi tupewe/tuuziwe hisa.
 
WEZI WOTE WA NCHI HII MUNGU AWAUE
 
Hii Nchi haina viongozi
 
Hii Nchi haina viongozi
Lakini viongozi wanatokana na jamii yetu.
Either wrong governance or genetical disorders to the masses.
We are not serious on crucial and sensitive matter's such as economy and technology building capacities.
Ukipanda bangi utavuna bangi sio pamba.
 
Sasa hivi TTCL PESA huwezi kutuma pesa wala huduma ya lipa kwa simu haipo. ukiwauliza wanakwambia wanafanya marekebisho.
Marekebisho zaidi ya wiki kweli!

Mbona mitandao mingine huwa wanafanya saa sita usiku hadi saa 11 alfajiri huduma inakuwa imerejea!
Nilikuwa na kahela kadogo imebidi ninunue bundle tu maana haina uwezo wa kutuma kwenda mitandao mingine na hata mawakala wenyewe wa kutafuta
 
Pole sana
 
Biashara ya mawasaliana ya Simu inalipa sana tatizo wanaopewa dhamana ni wajinga na wapumbavu kumbuka Tanzania nzima watu wakisema tu, hallow haya makampuni yanaingiza kiasi gani
 
Mawakala wote wa Tpesa wameachana nao.yaani ni kama shirika limekufa..nadhani ndio ilikuwa nia yao!Magufuli alishalifufua hili shirika likatishia hadi mashirika mengine ya simu..Mama amekuja kumtoa Waziri Kindamba aliyelifanya shirika lipae akamleta Ulanga,matokeo yake sote tumeyaona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…