Kwaheri Wang Yi, Tanzania sasa tujifunze

Kwaheri Wang Yi, Tanzania sasa tujifunze

Yusuf Kashaju

Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
56
Reaction score
89
China katika kipindi ilichokuwa inatakeleza mkakati wake wa maendeleo makubwa ( economic trajectory and critical mass investment in infrastructures) imekuwa inaendelea kuchukua tahadhari kubwa sana kujiepusha na migongano au migogoro na mataifa yale inayoyaona kwa njia moja au nyingine yanaweza kuikwaza au kuichelewesha kufikia azima yake ya maendeleo makubwa.

Katika kutimiza hili China ilifikia hatua ya kusaini mkataba na asimu yake makubwa India wa kutotumia siraha za moto ni case vita ikitokea baina yao.

Tanzania tujifunze angalau hili.

Kwa heri Ndugu yetu Wang Yi
 
Back
Top Bottom