The king mswati
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 787
- 826
😂😂😂 Muulize kwanza ni mkataba wa mwaka gani na huwa hauna expire date ?Kwa hio wasipotumia silaha za moto then India vs China vita yao itakua ya fimbo na mawe sio?

😂😂😂😂Kwahiyo na mzee Palamagamba akienda China naye atashobokewa hivihivi kama mulivyofanya!?😂
Mi nahisi atapokelewa na m/kiti wa kitongoji wa huko.