Yusuf Kashaju
Member
- Oct 20, 2019
- 56
- 89
Ziara yake haikuwa ya Tanzania tu kama tulivyoaminishwa, na wakati anakuja hakutokea China moja kwa moja.Kumbe Mr Wangyi ameshaondoka
Kwani wewe unaamini kuwa tuko kwenye uchumi wa kati?Ziara yake haikuwa ya Tanzania tu kama tulivyoaminishwa, na wakati anakuja hakutokea China moja kwa moja.
Ohooo...kumbe anatembea nchi kibao. Sasa shobo zote zile zilikuwa za nini?Ziara yake haikuwa ya Tanzania tu kama tulivyoaminishwa, na wakati anakuja hakutokea China moja kwa moja.
Sasa mkuu unateseka waziri wa China kuja Tanzania?Ziara yake haikuwa ya Tanzania tu kama tulivyoaminishwa, na wakati anakuja hakutokea China moja kwa moja.
Kwani wewe unaamini kuwa tuko kwenye uchumi wa kati?
Economic husband wa nchi yakoSo what's ua advice?
Btw, Who is Wang Yi?
Sasa Kwanini serikali ya macm imewekeza sana kwenye uongo au hawa wenzetu sio wazawa wa taifa hili ?Ziara yake haikuwa ya Tanzania tu kama tulivyoaminishwa, na wakati anakuja hakutokea China moja kwa moja.
Ohooo...kumbe anatembea nchi kibao. Sasa shobo zote zile zilikuwa za nini?
Tulikuwa na ombi letu la kusamehewa mikopo.Ohooo...kumbe anatembea nchi kibao. Sasa shobo zote zile zilikuwa za nini?
Iv hapo ukifkiria alikuwa anaambiwa Nan?Nireeteeni gwajima
Tujifunze katika kutia saini na nani?Tanzania tujifunze angalau hili.