Kwaheri Wang Yi, Tanzania sasa tujifunze

Hivi wamemuuliza wamempeleka wapi Jack Ma?
 
Misaada ni kitu hatari kutoka kwa hawa jamaa:
 
Hii inahusikaje na sisi.. Sisi Tanzania na china tupo Tofauti.. Wakati China akipractices ubepari in Chinese characteristic sisi bado tunauwaza na kuiga ujamaa wa enzi za Mao.

China not our Friend.. Hakuna urafiki kati ya tajiri na kapuku.
Pumbafu
China ni rafiki wa raslimali zetu.
Hata akuitapo rafiki kwa maana ya kutaka kunufaika na kitu toka kwako.
China wanamfumo wa maisha ya kijamaa lakini uchumi sio wa kijamaa.China imeendelea baada ya kufungua Milango yake kwa mabeberu
 
Kuna watu humu ndani hawana uzalendo kabisa na taifa lao na wanafikiri mzungu ndo mzuri inasikitisha sana.jadili hiyo video ya u tube wazungu wanahapa kwamba sisi tubakie masikini afu anakuja mtu anasema atakombolewa na mzungu mnajidanganya
 
Ziara yake haikuwa ya Tanzania tu kama tulivyoaminishwa, na wakati anakuja hakutokea China moja kwa moja.
Hakuna watu wabaya duniani kama hawa CHINESE Wanajifanya innosent lkn wana roho mbaya sana kweli wameisadia dunia kiasi fulani wanaweza kukuzia mashine mpya lkn ndani wakaukea kitu kibovu kuna jamaa yangu waliumuizia mashine ya maji mpya kwa macho ukiona kumbe ndani wamemuekea piston mbovu hawa watu ovyo sana hawana urafiki wala utu fanya nae biashara hata miaka yote lkn senti tano hakupunguzii si watu waaminifu kabisa mambo yao ni fake fake tu na ujanja na wizi hawana UBINADAMU hata kidogo ,Bora wazungu mara mia moja.
 
Bora mzungu mara 100 kuliko mchina
 
Muhimu tungeanza wasamehee Waliokopa bodi ya mikopo ya elimu ya juu.
Huwezi samehewa usiposamehee
Na kanisani kila Jpili kama leo anasali "utusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea"
 
Ziara yake haikuwa ya Tanzania tu kama tulivyoaminishwa, na wakati anakuja hakutokea China moja kwa moja.
Hahahahaha ila nyie watu ni wakorofi sana, kama tulivyoaminishwa au sio.
 

Uzi wako hapa unatufunza nini mbona mimi sijaelewa....au unataka tufanye nini 🤔🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…